Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Kama kweli CDM wanasimamia maadili ya chama, basi wamfukuze na Ndesamburo, maana ametangaza hadharani kumuunga mkono Lowasa ambaye ni wa CCM. Huwa naichukia CCM kwa sababu inatumia ujinga wa watanzania kulazimisha uhalali wa mambo ya ovyo, CDM na yenyewe sasa hivi inafanya hivyohivyo.
 
Na mimi nimeumia, kumbe CHADEMA wanafanya maamuzi huku wanaumia lakini wanaendelea kuyafanya. Hawa watu wanatufaa hawa.
 
Haya ndio yaliyokuwa maneno ya Slaa,baada ya kuombwa kutoa ufafanuzi na kijana wa CHADEMA kuhusu swala la Zitto:

"CHADEMA katka nidhamu haijaogopa,vinginevyo hatutakuwa tofauti na CCM.CHADEMA tunajiamin,Tukisimamia kitu tunajiamini tutakisimamia.Kama tusiposimamia maadili ndani ya chama hatuna sababu ya kwenda ikulu,kwa sababu tutakuwa wezi kama CCM.Kama tuliwaondoa madiwani watano,tukaumia sana nafsi zetu kwamba madiwan tunawatafuta kwa gharama kubwa,walipoasi wale madiwan watano,wakaingia kwenye mkataba na CCM,hatukuogopa madhara ya kuwaondowa watano,tuliwaondoa wote.Tofauti na CCM walioshindwa kumuondoa meya fisadi.Kama CHADEMA haitasimamia misingi yake,hatuna sababu ya kuchaguliwa na watanzania kwenda ikulu"

Wana jf naomba tujadili kwa moyo mweupe maneno haya ya kizalendo na ya kiwajibikaji bila ushabiki.
MAADILI NI NGUZO MHIMU YA UONGOZI.

Kumekwepo na jitihada ama za makusudi, ama za kutokujua, ama za kile kinachoitwa kumsafisha mbowe.

Niweke wazi kwamba sikumkosoa mbowe kuhusu mambo ya mahusiano anayosemekana kuwa nayo na wabunge wake wa viti maalumu, bali ni kuhusu KUKIUKA KWAKE MAADILI YA UONGOZI.

1) Kitendo cha kukatisha ziara ya mbunge wake wa kazi maalumu ili wakakutane Dubai kwa kazi maalumu badala ya kazi ya nchi aliyotumwa tena arudi toka marekani mpk Dubai kwa fedha za serikali ni matumizi mabaya ya fedha za umma na ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Angemrudisha kwa gharama zake yaani kwa fedha zake hapo ingekuwa mambo binafsi. Kufanya mambo binafsi kwa fedha ya umma haiwezi ikawa jambo binfsi. Hivyo sikukosoa mapenzi yao bali matumizi ya kodi za masikini kwa mambo binafsi.

2) Kumlazimisha Afisa wa bunge abadili tiketi ileile iliyokuwa aende kwenye shughuli ya bunge sasa ageuze aende kwenye kazi maalumu hili sio jambo binafsi ni matumizi mabaya ya madaraka. Ni kukosa huruma kwa hali ya juu kwa watanzania.

3) Kumlazimisha mbunge wake wa kazi maalumu kuachana na safari ya kikazi na kuacha nchi ikose mwakilishi kwenye kikao hicho huku tayari akuwa ameshagharamiwa safari hiyo, huku tayari akiwa ameshaziba fursa hiyo ambaye mbunge mwingine angeweza kwenda kuliwakilisha taifa halafu mbowe na mtu wake wakaenda kwenye kipaombele chake cha kuburudika dubai ni ukosefu wa uzalendo kwa Taifa na ni ukosefu wa maadili ya kiuongozi.
Tumeongea kwakuwa wametumia fedha za umma, tumesema kwa sababu wameacha kazi ya umma huku wakiwa wamechukua fedha kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania na tunasema kwakuwa wamewanyima fursa wabunge wengene ambao wangekwenda kuwakilisha Taifa endapo fursa hiyo hangepewa mtu elibadilishiwa safari ya ya taifa na kuitwa kwa kazi maalumu.

"Ukipewa kazi ya nchi lazima ujiheshimu" NITASHANGAA SANA NITAKAPORUDI BUNGE LIJALO NIKIKUTA MBOWE BADO NI KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI
 
vipi yule anayeenda kuvinjari na mahawara huko dubai huku wamechukua posho za bunge na yule aliyepora mke wa mtu
elody hyo imebuma Ungemuuliza unayemgombania n kmtetea hapa vipi mtoo wa mwinyimkulu, vipi wema na Catherine magige yupi anaoa
 
Una ushahidi we kasuku?

Unataka ushahidi upi hapo?!

Kwamba Dr Slaa anakadi ya CCM?...mbona alikubali mwenyewe hilo!

Kwamba Mbowe anakula hela za mafisadi?!...mbona alikubali mwenyewe hilo!
 
MAADILI NI NGUZO MHIMU YA UONGOZI.

Kumekwepo na jitihada ama za makusudi, ama za kutokujua, ama za kile kinachoitwa kumsafisha mbowe.

Niweke wazi kwamba sikumkosoa mbowe kuhusu mambo ya mahusiano anayosemekana kuwa nayo na wabunge wake wa viti maalumu, bali ni kuhusu KUKIUKA KWAKE MAADILI YA UONGOZI.

1) Kitendo cha kukatisha ziara ya mbunge wake wa kazi maalumu ili wakakutane Dubai kwa kazi maalumu badala ya kazi ya nchi aliyotumwa tena arudi toka marekani mpk Dubai kwa fedha za serikali ni matumizi mabaya ya fedha za umma na ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Angemrudisha kwa gharama zake yaani kwa fedha zake hapo ingekuwa mambo binafsi. Kufanya mambo binafsi kwa fedha ya umma haiwezi ikawa jambo binfsi. Hivyo sikukosoa mapenzi yao bali matumizi ya kodi za masikini kwa mambo binafsi.

2) Kumlazimisha Afisa wa bunge abadili tiketi ileile iliyokuwa aende kwenye shughuli ya bunge sasa ageuze aende kwenye kazi maalumu hili sio jambo binafsi ni matumizi mabaya ya madaraka. Ni kukosa huruma kwa hali ya juu kwa watanzania.

3) Kumlazimisha mbunge wake wa kazi maalumu kuachana na safari ya kikazi na kuacha nchi ikose mwakilishi kwenye kikao hicho huku tayari akuwa ameshagharamiwa safari hiyo, huku tayari akiwa ameshaziba fursa hiyo ambaye mbunge mwingine angeweza kwenda kuliwakilisha taifa halafu mbowe na mtu wake wakaenda kwenye kipaombele chake cha kuburudika dubai ni ukosefu wa uzalendo kwa Taifa na ni ukosefu wa maadili ya kiuongozi.
Tumeongea kwakuwa wametumia fedha za umma, tumesema kwa sababu wameacha kazi ya umma huku wakiwa wamechukua fedha kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania na tunasema kwakuwa wamewanyima fursa wabunge wengene ambao wangekwenda kuwakilisha Taifa endapo fursa hiyo hangepewa mtu elibadilishiwa safari ya ya taifa na kuitwa kwa kazi maalumu.

"Ukipewa kazi ya nchi lazima ujiheshimu" NITASHANGAA SANA NITAKAPORUDI BUNGE LIJALO NIKIKUTA MBOWE BADO NI KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI

View attachment 134232
 
maneno yamtu mwenye hekima na busara yahali yajuu kabisa.
Khaa!!! Busara ya hali ya juu? Kusimamia maadili kwa misingi ya kibaguzi!! Mbona wengine wanazini na wabunge wa viti maalum na yeye yuko kimya? Wengine wanawatusi viongozi wao! Wewe mzima kichwani kweli??
 
Unataka ushahidi upi hapo?!

Kwamba Dr Slaa anakadi ya CCM?...mbona alikubali mwenyewe hilo!

Kwamba Mbowe anakula hela za mafisadi?!...mbona alikubali mwenyewe hilo!

Mkuu tambua hata unapambana na kila aina ya majambazi yakiongozwa na yale maporaji ya wake za watu na kuwafanya vimada!

Halafu nikuombe funika uso wako kwa sbb kuna dogo humu anatembea na sumu na tindikali na anatumiwa sana na chadema kwa ajili ya kuwamakiza wenzake asije akakupitia nimemuona humu!
 
Haya ndio yaliyokuwa maneno ya Slaa,baada ya kuombwa kutoa ufafanuzi na kijana wa CHADEMA kuhusu swala la Zitto:

"CHADEMA katka nidhamu haijaogopa,vinginevyo hatutakuwa tofauti na CCM.CHADEMA tunajiamin,Tukisimamia kitu tunajiamini tutakisimamia.Kama tusiposimamia maadili ndani ya chama hatuna sababu ya kwenda ikulu,kwa sababu tutakuwa wezi kama CCM.Kama tuliwaondoa madiwani watano,tukaumia sana nafsi zetu kwamba madiwan tunawatafuta kwa gharama kubwa,walipoasi wale madiwan watano,wakaingia kwenye mkataba na CCM,hatukuogopa madhara ya kuwaondowa watano,tuliwaondoa wote.Tofauti na CCM walioshindwa kumuondoa meya fisadi.Kama CHADEMA haitasimamia misingi yake,hatuna sababu ya kuchaguliwa na watanzania kwenda ikulu"

Wana jf naomba tujadili kwa moyo mweupe maneno haya ya kizalendo na ya kiwajibikaji bila ushabiki.
mwenye akili yeyote akisoma hii msg lazima ataielewa na akiri kabisa kwamba CDM ni mpango wa Mungu..
 
Haya ndio yaliyokuwa maneno ya Slaa,baada ya kuombwa kutoa ufafanuzi na kijana wa CHADEMA kuhusu swala la Zitto:

"CHADEMA katka nidhamu haijaogopa,vinginevyo hatutakuwa tofauti na CCM.CHADEMA tunajiamin,Tukisimamia kitu tunajiamini tutakisimamia.Kama tusiposimamia maadili ndani ya chama hatuna sababu ya kwenda ikulu,kwa sababu tutakuwa wezi kama CCM.Kama tuliwaondoa madiwani watano,tukaumia sana nafsi zetu kwamba madiwan tunawatafuta kwa gharama kubwa,walipoasi wale madiwan watano,wakaingia kwenye mkataba na CCM,hatukuogopa madhara ya kuwaondowa watano,tuliwaondoa wote.Tofauti na CCM walioshindwa kumuondoa meya fisadi.Kama CHADEMA haitasimamia misingi yake,hatuna sababu ya kuchaguliwa na watanzania kwenda ikulu"

Wana jf naomba tujadili kwa moyo mweupe maneno haya ya kizalendo na ya kiwajibikaji bila ushabiki.

Daah maneno kuntu kabisa naamini jk hawezi kabisa kutoa kauli iliyoenda shule kama hii slaa kweli 2010 ikulu ilikua yake na 2015 itakua yake.....
 
suala la matumizi ya rudhuku na matumizi ya chama mbona slaa sijawahi kusikia anazungumzia?nitoeni ukungu jamani

Ni kweli ulichosema ila nadhani hujawahi kusikia kwa sababu haikuhusu. Ni ruzuku si rudhuku (rudhuku ni kikwetu si kiswahili)
 
Back
Top Bottom