Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

DSC00075.JPG ccm imeshindwa kuadress matatizo muhimu badala yake mnatumia kodi zetu kulisha watu ubwabwa hapo jangwani.
 
Wa Tanzania leo wameona maajabu ya 2012 baada ya CCM kujitahidi kuitisha mkutano ambao haukuitikiwa na watu kama ilivyokua kwa CH.ADEMA wachambuzi wa mambo wamesema CCM ilikua inapima hali ili iweze kuona inaungwa mkono kiasi gani.

Hali ilidoda ikabidi wabebe watu walionunuliwa kwa T-shirt, kofia na kanga ili aibu isionekane saaaana...Wazungumzaji ndo wametia fora baada ya kuonekana kukosa cha kuzungumza na kuishia kukejeri tu.

Wapo waliojitangaza kua wamelala africa kusini lakini wameudhulia mkutano. Nini tutegemee kuanzia kesho ni kupondwa zaidi na kuporomoka zaidi kwani baada ya kujikita na hali ya nchi na uchumi wamejikita kutafuta migogoro likuki.

CCM wavunja sheria ya kubeba watu kwenye matipa, mafuso kinyume na sheria za nchi kauli ya NAPE dhidi ya UAMSHO lazima itazua mjadala na kujikuta wakipoteza wafuasi visiwani...

Wait and see
 
Baada ya kupata Hao wanachama tunaomba sasa mtu être Maendeleo ambayo tumeyakosa kwa miaka mingi
 
Mtu yyte mkweli kwanza atakiri kuwa umati ulikuwa mkubwa kisha ndo atoe sbb za ukubwa wake e.g watu kusombwa na kulipwa posho lkn ni lazima kwanza akubali.

Suala la hoja dhaifu na zisizo na mashaka ilo liko wazi kabisa.
 
Tusubiri mkuu kina Wasira wanaweza kutoa sera nzuri leo za maendeleo ya Mtanzania.

wewe nawe siamini kama umepotoka kiasi hiki yaaani utegemee wasira atoe sera safi? ni sawa na kutegemea badala ya kuku kutaga yai basi atoe maziwa anyonyeshe vifaranga vyake!!
 
You are right mkuu! Ila sis tulio nje na pembeni ya majukwaa twaweza kuwa ndo tunaoona hili kwa macho mawili, wakati mwenyewe na strategists CCm hawalioni. Si sawa wa pembeni kuendeleza haya, ingawa ni sawa kwa manazi wa CMD na CCM kutupiana haya!!

Nikweli kaka maana kwa wanazi wa CDM au CCM mambo haya yakawaida sana ndo maana wanakurupuka kupigana vijembe wakati kuna hoja za msingi za kuzungumzia.
 
Niko jirani na ofisi ya kata ya ccm hapa Dar, kinachoendelea hapa ni mgawo wa shs 3000 kwa watu wazima na shs 500 kwa wanafunzi baada ya kurudishwa kutoka Jangwani kwenye mkutano wao na wengi ni wasichana wadogo.Yaani ccm ni full usanii.
 
Baada ya kuona mkutano wa CCM leo pale jangwani kusema kweli CCM wamefuta ujio wa CDM na kuiangusha Chadema kifudifudi.
Nilijua tu mbio za CDM (Makobe) zitafikia ukingoni mida si mrefu ,na kweli Chadema sasa wana wakati mgumu kuliko wakati wowote ule na wasipoangalia watachawanyika kuliko ya mbuzi.

Bado CUF ambayo iaonekana kama haipo ,imezama na inaiangalia hali ya kisiasa inavyokwenda wakisubiri kupiga kwa style ya Checkmate.
Nafikiri wapo njiani kutayarisha mkutano wa aina yake hapo hapo Jangwani.
 
Mm na washanga sana wanaosema hawajaona jipya jangwani ikiwa kuna anaetengemea jipya toka ccm atasubili hadi kifo kitamfika .
 
Yani utoto ulio fanyika pale sijawai kuona popote..

Msizichane tutawarudishia wenyewe,kumbe ndio za kuzunguka nazo nchi nzima kwaajili ya wana nyinyiemu.

Alaf mbona ni za cdm tu? Au hakuna vyama vingine.
 
Back
Top Bottom