lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,029
Nilijua ccm wameishiwa lakini sikutegemea kama wameshafikia hatua hii!Huyu huyu mhuni GADAFI alipelekea nisiwe naenda shamba la bibi kuiangalia simba..
Aliwahi kuwa MSIMBAZI.
Nilijua ccm wameishiwa lakini sikutegemea kama wameshafikia hatua hii!Huyu huyu mhuni GADAFI alipelekea nisiwe naenda shamba la bibi kuiangalia simba..
Aliwahi kuwa MSIMBAZI.
haah haahMhhh! kweli upepo umepuliza, ngoja tuone nyeti za kuku.
Kweli ccm imekufa.
Jamaa anaongea kama anagombana. Hana confidence, very defensive, actually yuko frustrated, utadhani kakurupushwa.
Mimi naona mkutano waliopanga kuufanya wameshauriana wasiufanye lakini kwa kufunika kombe wakamtuma huyu jamaa, akawapotezee waandishi.
Ninahisi kama wameona wasiongee walichotakakusema juu yakuondoka kwa lowasa kusudi wasiwape faida ukawa ili waje wawashtukize.
Bibi bomba naona CCM wamekuwekea mkatoliki,utamchagua kweli?Si unaona jinsi ulivyo juha?
Majibu tunayo sasa hivi, wewe subiri oktoba.
Mbowe kapiga pesa, nyinyi misukule mnawekewa gonjwa lile na nyinyi mpo tu.
Mnasikitisha sana kwa kushindwa kufikiri hata mambo madogo.
Nchi hii haiwezi kuongozwa na waoza meno
Ikulu kuna nini?
Kesho saa 7 mchana CCM watazungumza na waandishi wa habari Lumumba. Ajenda kuu ni Lowassa kujiunga CHADEMA.
Chanzo: Taarifa ya CCM kwa wahariri.
========================
UPDATES;
2.Update:
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Juma Simba Gadafi amesema:
"Nawashukuru Waandishi wa habari kwa kuja, CCM tumewaita hapa, kuwashukuru kwa kushirikiana nasi katika Mikutano iliyokuwa ikiendelea Dodoma. Tunaomba Tume ya Uchaguzi iongeze Muda wa kujiandikisha na mashine za BVR, ili watu waweze kujiandikisha kwa wingi, ili ifikapo 25 OCt CCM iweze kushinda kwa Kishindo kwani Dar es Salaam ndio Ngome ya CCM".
- Pia, Gaddafi amesikitishwa na kitendo cha waandishi wa habari kumuuliza maswali kuhusiana na kujiengua kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa JMT, Edward Lowassa kutoka CCM na kuhamia CHADEMA na kusisitiza kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya Mhe. Lowassa na hayana athari yoyote kwa CCM, kwani yeye sio wa kwanza kufanya hivyo, huku akitolea mfano kwa wakina Mhe. Agustino Lyatonga Mrema na Dr. Slaa ambao walishawahi kukitumikia chama hicho kabla ya kuhamia Upinzani.
Akifafanua kuhusu kutokuwepo kwa viongozi wakuu wa CCM katika Mkutano huo, Katibu Juma Simba ameeleza kuwa yeye ndiye Msemaji Mkuu wa CCM kwa Mkoa wa Dar es salaam, hivyo ni mtu sahihi kuwepo hapo na kudokeza kwamba viongozi wengine wako kwenye harakati nyingine za kichama huko mikoani.
Mkuu, na wewe umejiunga na Team Mafisadi?
teh teh teh...wanahaha kama mbwa mwenye kiu