nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
haa haa lowasa ameongeza pressure lumumba
Kama umemsikiliza vizuri sana Leo Juma Ghadaff pale pick cock, nikujaribu kupunguza nguvu za EL kesho kwenye MAGAZETI
Kama umemsikiliza vizuri sana Leo Juma Ghadaff pale pick cock, nikujaribu kupunguza nguvu za EL kesho kwenye MAGAZETI
Mafuriko hayazuiliki tena....wamechelewa.
Tatizo CCM hata iweje hawataachia ikulu, mbinu mbalimbali zitatumika kuhujumu matokeo