ritz hali ishabadilika mtu wangu.
Pengine ujio wa lowassa na mie binti yangu atapata mkopo,
ccm mlinikomoa kweli.
Dr Slaa tutamtambulisha siku za karibuni, msijali.
Mandla.
Inabidi jamaa nayeye tumwalike ajiunge na kundi kubwa la Safari ya matumaini maana hata yeye inaelekea ameichoka CCM ndomaana kathubutu hata kutimua mbio........ huenda anakwenda kuchukua kadi ya CDM
fisadi mwizi mkubwa lowassa
teh teh teh...wanahaha kama mbwa mwenye kiu
Kibajaji ashauriane na wenzake wakina...kuufyatakibajaji ajiandae kuwa mbunge kambi ya upinzani
Mkuu, na wewe umejiunga na Team Mafisadi?
kibajaji ajiandae kuwa mbunge kambi ya upinzani
Wamepanga Kijubu Mapigo kwa Kumchukua Dr. Slaa Ngoma Iwe Droo Hii ndio itakuwa Funga nikufunge... Kila Mtu Anatafuta Striker mwenye kufunga Magoli ya Mbali...
Ule mkutano wa CCM uliotangazwa kwa mbwembwe zote, ukitarajiwa kujibu mapigo ya Edward Lowassa aliyehamia Chadema, umegeuka kuwa kituko baada ya CCM kumtuma katibu mwenezi mkoa wa Dar, Juma Gadafi Simba kuzungumza.
Awali waandishi wa habari waliokuwa wamejikoki vilivyo katika hotel ya Peacock hawakuamini macho na masikio yao kumwona kada huyo wakidhani Nape ndio anakuja kuzungumza.
Mmkutano huo ulikuwa unarushwa live na Azam TV ambao hawakuamini kinachoendelea kwani kada huyo aliishia kiwashukuru tu waandishi kwa kupokea Dr. John Magufuli na kujigamba kuwa atashinda kwa kishindo.
Baada ya mazungumzo yake mafupi, waandishi walimuuliza maswali mengi hadi akachanganyikiwa na kukataa kuyajibu. Waandishi walimfuata hadi nje ya ukumbi na akakimbilia kwenye lift na kuondoka.
Katika mkutano huo alikuwepo msaidizi wa Nape, Chongolo na mpigapicha wa CCM, Bashiri Nkoromo, waliomtaka Gadafi kusitisha mkutano.
My take: CCM wamechanganyikiwa na kuondoka kwa Lowassa
Mtajuta kupokea lifisadi.