KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 963
Mkuu Yericko Nyerere, tunsubiri updates kwa hamu,,leo sijafik hayo maeneo kwa kuhofia hali ya usalama. Ebu niambie, kati y wafuasi wa Zitto na wa chadema ni kundi lipi lina wtu wengi??
usiseme kundi la chadema na la zito, zito kabwe hana kundi, hao ni wafuasi wa ccm wanaojioasibu kuwa wametoka chadema upande wa zito.
nawafananisha na kelele za chura zisizoweza kumzuia ng'ombe kunywa maji, watashindana na ni very soon watakuwa chali.
Last edited by a moderator: