Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mkuu Yericko Nyerere, tunsubiri updates kwa hamu,,leo sijafik hayo maeneo kwa kuhofia hali ya usalama. Ebu niambie, kati y wafuasi wa Zitto na wa chadema ni kundi lipi lina wtu wengi??

usiseme kundi la chadema na la zito, zito kabwe hana kundi, hao ni wafuasi wa ccm wanaojioasibu kuwa wametoka chadema upande wa zito.

nawafananisha na kelele za chura zisizoweza kumzuia ng'ombe kunywa maji, watashindana na ni very soon watakuwa chali.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hili lazima liishe siku ya leo na nnomba kamati kuu ikae mara moja kumaliza hii issue isilale. Huyu jamaa anachosha.
 
ccm ni janga kuu kwa Taifa letu!

TUNAKOELEKEA HATUITAKI HATA KUIONA WALA KUSIKIA.
Walikotufikisha tunasema IMETOSHA!

Mkuu huyo anayetumia ID ya "MINGOI" niwakupuuzwa tu hamna aja ya kujibu ujinga wake, yani ungemuona ungemdharau kabisa na kujisikitikia vibaya kwanini ulikuwa unajibizana nae.
 
Najitahidi

Mwaka Furani Nikiwa Iringa Niliona Namba Ya Manyerere Jackton Katika Gazeti Furani. Nilichkua Simu Ya Bibi, Nikampigia Nikamwambia Mimi Ni Ndugu Yake Naitwa Juma Manyerere Nimetokea Musoma. Niko Ubungo Nimekuja Kuku Salimia. Nilimsumbua Sana Aisee, Kipindi Hicho Hata Dar Sipajui. Lakini Hatimaye Akaniambia Yeye Hayupo Yuko Njiani Kuelekea South Afrika. Utoto Jamani Yaani Hata Sielewi Nilifanya Vile Ili Iweje
 
Naaam Kamanda Yericko Nyerere. Asante sana kwa kuendelea kutujuza sisi tulio mbali. Hizi ni dalili za kujua nani yuko nyuma ya wasaliti wa chama chetu cha CHADEMA. Naamini Bwana Yericko leo una Battery backup walau kama 3 hivi ili usiishiwe chaji kwenye simu yako..
 
Taarifa ile ya zzk iliyoko fb,inathibitisha kuwa chacha wangwe was assassinated na CDM,who is responsible ni mbowe!!
Anafaa aisaidie polisi tujue watu wanaoishi kwa mgongo wa damu za wenzao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom