Afadhali ya ccm, at least walikuwa na wagombea wengi lakini baada ya mchekecho Tano na Tatu bora walipatikana. Cdm imeonyesha kutokuwa na democracy hata chembe. Chadema ni Mali ya mtu binafsi, na hivi sasa wameamu kumkaribisha muwekezaji na wamemuuzia hisia ya 70%. Na hayo ni maendeleo.