Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
6,350
Likes
43
Points
145

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
6,350 43 145
Maandalizi yanaendelea vizuri naona mitaa yote ya Bongo DSM naona barabara zote maelufu kwa maelufu ya watanzania wanazidi kujitokeza kumlaki na kumpungia mkono wa baraka na heri kamanda mpya Eddo Lowasa.

Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema.

Mbeya na Iringa kaeni mkao wa kumuona Lowassa ndani ya Gwanda siku ya kesho.

Updates
Watu na viongozi mbalimbali walio alikwa ndio wanaingia kwenye viwanja vya office ya Makao makuu ya chadema.
Viongozi wakuu wa chama wameshaingia na taratibu za hapa na pale zinaendelea
Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu


Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu


Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam


Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe, na Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadema
 
Last edited by a moderator:

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Messages
909
Likes
5
Points
0

Warren.T

JF-Expert Member
Joined May 3, 2015
909 5 0
Hizo updates ziambatane na picha tafadhali...
Kila la kheri Lowassa.
Watu wana roho mbaya sana jamani,eti hawataki wakuone kwenye hili jukwaa,wanadai jukwaa lako ni lileeeeee lenye mambo ya akina Kiba na fulani mwenye domo fulani hivi!.....watu ni wabaya kweli kweli yaani!!!
 

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,084
Likes
24,615
Points
280

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,084 24,615 280
Watu wana roho mbaya sana jamani,eti hawataki wakuone kwenye hili jukwaa,wanadai jukwaa lako ni lileeeeee lenye mambo ya akina Kiba!.....watu ni wabaya kweli kweli yaani!!!
Ajabu watu wenyewe ndio walewale tunaoshinda nao kule.
Najua kinachowaumiza pia wale ni watani wangu....tunajuana vizuri tu.
 

Forum statistics

Threads 1,190,437
Members 451,169
Posts 27,671,426