Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Afadhali ya ccm, at least walikuwa na wagombea wengi lakini baada ya mchekecho Tano na Tatu bora walipatikana. Cdm imeonyesha kutokuwa na democracy hata chembe. Chadema ni Mali ya mtu binafsi, na hivi sasa wameamu kumkaribisha muwekezaji na wamemuuzia hisia ya 70%. Na hayo ni maendeleo.
 
"Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema".

hivi alikuwepo huyu mdau ktk uchukuaj wa fomu??????
 
Afadhali ya ccm, at least walikuwa na wagombea wengi lakini baada ya mchekecho Tano na Tatu bora walipatikana. Cdm imeonyesha kutokuwa na democracy hata chembe. Chadema ni Mali ya mtu binafsi, na hivi sasa wameamu kumkaribisha muwekezaji na wamemuuzia hisia ya 70%. Na hayo ni maendeleo.

Labda umepitiwa kidogo mkuu.

Ninavyofahamu mimi na kwa mujibu wa kumbukumbu zilizopo hapa ndani ya jukwaa hilihili ni kwamba, tarehe ya mwisho kuchukua na kurejesha fomu za ugombea urais ndani ya CDM ilikuwa ni 30/7/2015 kama sijakosea, lakini hakuna aliyekuwa amejitokeza!!

Hata Dr Slaa ambaye tunamtaja taja sana hapa kwamba is the right person ktk nafasi hiyo hakuwa amechukua fomu. Hatujui sababu ni nini, hataki au haungwi mkono na wenzake. Nadhani hili tutalijua tu baadaye. Hata hivyo mimi nadhani kuwa alikuwa ameandaliwa kuwa ni option ya mwisho baada ya deal la mtu aliyetarajiwa (ambaye sasa ni dhahiri shahiri alikuwa ni Edwards Lowassa) kushindikana. Kumbuka hata mwaka 2010, Samwel Sitta ndiye alikuwa awe mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, lakini wakauzwa naye dkk za mwisho na CHADEMA wakawa hawana jinsi zaidi ya kumshtukiza na kumpa nafasi hiyo Dr Slaa!!

Nakumbuka waliongeza muda na nadhani dhamira ya kuongeza muda huo ilikuwa ni kwa mtu maalumu aliyekuwa ameandaliwa.

Binafsi naamini haya yanafanyika on purpose japo kidemokrasia inaleta picha tofauti. Na km itatokea mtu mwingine akachukua fomu, basi ni sharti utaratibu huu huu utumike kumkabidhi fomu hizo
 
UHARAM WA UCHUKUAJI WA FORM YA URAIS CHADEMA

juzi wakati MH Lowasa akichukua form ya uraia chadema kuna ukiujwaj wa katiba.

Form ya urais inabidi itolewe na Katibu Mkuu na kama hayupo Atoe Naibu katibu Mkuu.

Dr Slaa na Mnyika ambao wanaruhusiwa na katiba ya chadema walikimbia tukio hilo na Sababu hazipo wazi

Sasa wakati anapewa form lilikuwa ni kosa kwa Mwemyekiti wa chama kutoa form ile au Naibu katib Mkuu Zanzibar.

Kitendo cha Mbowe ambae ni Mwenyekiti wa CHAMA kumpa Lowasa form ya urais ni ukiukwaj wa katiba jambo ambalo ni kinyume na taratib..

Kitendo cha Mbowe kuwepo pale ni baada ya Mnyika na Slaa ambao katiba inawaruhusu kugawa form kukimbia mchakato huo.
Hii inaonesha kuwa kuna ubabe ulitumika kumpatia Lowasa form ya urais.. Hayakuwa makubaliano ya watu wote ila naona kuna ubabe

Nina wasi wasi na hali iliyopo Chadema

Haewezekan mwenyekiti agawe form ya urais.. Haiwezekan

Hapa kuna kitu..
 
Kama makatibu wamekimbia bila sababu, ulitaka iweje? Kwa maana hiyo hao makatibu wakuu hawakutaka Lowassa apewe form? Hivi maamuzi ya kumpokea Lowassa yalikuwa ya mtu mmoja au wengi? Kama ni walio wengi je hiyo sio demokrasia ya kweli?
 
Ninapenda kuona upinzani ukiendelea bt kilichotokea mwaka huu bora upinzani wa dovutwa!.
 
Wana nchi na wana chadema tuna mhitaji lowassa kwa njia yoyote ile ili kuweza kukijenga chama!
 
Tujikumbushe Wakuu.
mkuu kila kitu hapa duniani ili ufanikiwe unatakiwa kwenda na muda muda ndio umebeba mafanikio yote so kama kwa muda huu hana soko tena ameshakuwa makapi tuna mtupa na kumsahau akizingu tuna mzingua ndivyo mipango ilivyo hakuna kuoneana aibu mwana jeshi akilemaa anasitafishwa hakuna namna ya kumlinda!
Tulifanikiwa kwenda na muda kwa wakati huo haimanishi ndio mwisho wetu la hasha siasa siyo dini ni itikadi zenye kuna kukosoa na kukosolewa hakuna kubadilisha itikadi !!!!
kama hao wavulana wanao badilisha sisi tuna pangua na kupangatena maana siyo dini !! hatukimbie umande!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom