Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Naona Esta kama kapotea vile ingawa najua kenda kwa mmewe Halima. Maana nasikia wana mchezo huo siku nyingi
Weka picha.
Naona Esta kama kapotea vile ingawa najua kenda kwa mmewe Halima. Maana nasikia wana mchezo huo siku nyingi
Nimeona Mama yetu H. Mdee akiwa amezungukwa na jeshi kubwa la Bawacha. Sasa mabadiriko yameingia kwa wakina mama, Tanganyika inarudi sasa.
Wote hawawezi kurudi na kule kawe mako ameenda kummaliza mdee kisiasa labda atafute pakukimbilia huyo dada
Wana jamii mimi ni mkazi wa kawe, bahati nzuri sina chama rasmi nachokipenda zaidi ila nampenda mbunge ambae ataondoa matatizo ya eneo letu, baada ya adamjee amvae hajufanya kitu akaja rita mlaki nae ndio hakuna kitu kabisaaa, mwishowe ndio ukaingia upinzani dada yetu Halima, sio siri katika muda wote aliokaa hakuna tofauti na waliomtangulia, kitu nachokiona kwa huyu dada ni ujasiri wake bungeni, pamoja na kukubali yale anayiyapigania huko bungeni hali ya kawe ni ileile walioacha kina Rita mlaki, wakaaji wa kawe wataniunga mkono - kama wataacha ushsbiki wa kisiasa, mimi kura zangu mwaka huu nitampa mtu mwingine, kwa sasa bado nawachambua, ila sio huyu dada
Hizi sifa sasa jamani chadema mnataka tufe kwa presha!!??
Tulia oksijeni iingie unapumulia mashine halafu unarukaruka!
Kwa kuwa wameondoka?
Naona Esta kama kapotea vile ingawa najua kenda kwa mmewe Halima. Maana nasikia wana mchezo huo siku nyingi
Lumumba mapanya yote yamejificha mashimo.Dawa ya mapanya inayatesa
shepu ya huyu esta bulaya inanipagawisha sana
Chadema kama Mcharo
Hahahaha mkuu mapanya buku ya Lumumba yataenea kkweli humo shimoni maana yana mavitambi ya ufisadi.
Ester umefanya jambo la muhimu sana katika maisha yako kwa kujitenga na kundi la ngedere!
Bulaya mumewe ni nani?