Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Huko M4C wanaume mnaolewa?
Kumbe wewe ni mwanaume?hayo maneno unayoyazungumza kwa binadamu mwenzio ndio yalionipa picha hiyo,wacha udhalilishaji
Huko M4C wanaume mnaolewa?
Mkuu mapanya ya Lumumba yamechungulia yakaona paka kapaki basi mapanya ya Lumumba yapo shimoni yana chungulia meno juu
Hao wachumia tumbo tu kama yule baba ndo simuamini kabsa sjui kaona atakatwa kwenye kura za maoni anawapondea watu aliofanya nao kaz siku zote huo unafki tu. Wameona watu hawawapend yanga ndo wameamua kuja kwetu ili wapte wapo kimaslahi tu hao wasituharibie chama chetu
Sema wewe unahoji.Sababu akili yako ndipo ilipoishia.Pole kwanini uulizie mitandaoni?wafuate uwaulize.Waheshimuni wengine,pamoja na kwamba hamuwapendi.Vivyo hivyo upinzani siyo uadui wala haiitaji kudhalilisha wengine kwa jinsia zao.Hata wanawake wanahaki ya kuwa marafiki na hawapaswi kudhalilishwa sababu ya hali zao za kuwa single.
Naomba utuheshimu.Tunahaki ya kupewa heshima pamoja na kuw wanawake.Angalieni michango yetu kwenye Taifa,mtuhukumu kwa performance lakini si kutudhalilisha mitandaoni,haipendezi.
Ni kweli mkutano ulikuwa mkubwa sana, mwitiko wa watu wa Bunda ulikuwa ni wa kutisha, wakati huo huo leo Mbuge aliyemaliza muda wake Mhe Wasira alizipiga kavu kavu na Mwenyekiti wake wa Mkoa ambaye naye analitaka jimbo la Bunda. Maoni yangu ni kuwa kama wako watu wa karibu na vicent Nyerere ni vyema wamshauli abadili namna anavyohotubia, hotuba zake hazina mvuto kabisa, wakati wote ni mizaha, kitu ambacho anawapoteza watu wazima na wenye heshima zao. Watu wengi hawafurahishwi na hotuba za huyo mbunge wa Musoma Mjini.
wanabuni mbinu mpiya mkuu, hawa crokochi walahi nawachukia
Ni kweli mkutano ulikuwa mkubwa sana, mwitiko wa watu wa Bunda ulikuwa ni wa kutisha, wakati huo huo leo Mbuge aliyemaliza muda wake Mhe Wasira alizipiga kavu kavu na Mwenyekiti wake wa Mkoa ambaye naye analitaka jimbo la Bunda. Maoni yangu ni kuwa kama wako watu wa karibu na vicent Nyerere ni vyema wamshauli abadili namna anavyohotubia, hotuba zake hazina mvuto kabisa, wakati wote ni mizaha, kitu ambacho anawapoteza watu wazima na wenye heshima zao. Watu wengi hawafurahishwi na hotuba za huyo mbunge wa Musoma Mjini.
Bulaya na Mdee ni mtu na nani wake? Watanzania wanahoji!!!
Sema wewe unahoji.Sababu akili yako ndipo ilipoishia.Pole kwanini uulizie mitandaoni?wafuate uwaulize.Waheshimuni wengine,pamoja na kwamba hamuwapendi.Vivyo hivyo upinzani siyo uadui wala haiitaji kudhalilisha wengine kwa jinsia zao.Hata wanawake wanahaki ya kuwa marafiki na hawapaswi kudhalilishwa sababu ya hali zao za kuwa single.
Naomba utuheshimu.Tunahaki ya kupewa heshima pamoja na kuw wanawake.Angalieni michango yetu kwenye Taifa,mtuhukumu kwa performance lakini si kutudhalilisha mitandaoni,haipendezi.
Kaanzishe chama chako na ukoo wako maana msajiri ni wenu
Huko M4C wanaume mnaolewa?
Wana jamii mimi ni mkazi wa kawe, bahati nzuri sina chama rasmi nachokipenda zaidi ila nampenda mbunge ambae ataondoa matatizo ya eneo letu, baada ya adamjee amvae hajufanya kitu akaja rita mlaki nae ndio hakuna kitu kabisaaa, mwishowe ndio ukaingia upinzani dada yetu Halima, sio siri katika muda wote aliokaa hakuna tofauti na waliomtangulia, kitu nachokiona kwa huyu dada ni ujasiri wake bungeni, pamoja na kukubali yale anayiyapigania huko bungeni hali ya kawe ni ileile walioacha kina Rita mlaki, wakaaji wa kawe wataniunga mkono - kama wataacha ushsbiki wa kisiasa, mimi kura zangu mwaka huu nitampa mtu mwingine, kwa sasa bado nawachambua, ila sio huyu dada
Bulaya ni Mbunge tayari, hebu fanyeni mipango Kangi Lugora atie timu
Huko M4C wanaume mnaolewa?
acha hasira Kamanda post ilisema CDM hamchukuagi makapi Bulaya ni Cream ya CCM 99% nikamjibu hajapitia Jimbo kapitia UV-CCM sasa ndio anaingia kwa wananchi ili wamchagueKwa hiyo wakati yupo ccm alikuwa anawakilisha Mwenyekiti wa mtaa?
Akili yako inaishia hapo hapo,pole sanaBy MUSSA ALLAN![]()
Bulaya na Mdee ni mtu na nani wake? Watanzania wanahoji!!!
By Ruttashobolwa![]()
![]()
Halima Mdee hakai mbali kabisa kila anapo kwenda Ester yeye yupo!
Mnajionyesha jinsi mlivyokuwa na tabia za kibwege