Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

HabariChademamara

Senior Member
Apr 6, 2015
113
91
Wana JF ambao mko Bunda tunaomba kupata updates za mapokezi ya Kiungo Mshambuliaji Ester B pacha wa Halima Mdee huko Bunda kwa wenye taarifa watupatie Pia habari Kangi Lugola.
========
 
Waambieni kabisa wasile porojo busega tutawapopoa na mawe, yaani wapiti kasi kama msafara wa JK.
 
Ila jana jukwaani Mbowe hajanifurahisha kurudia rudia kusema 'mmesamehewa'. kwa wastani hayuko makini sana anachoongea.
 
Lizibono makapi yamebaki ccm sisi tunabeba zile cream tuuu
Namsubiria na mmoja deo na kangi yaani hapo usajili utakuwa umekamilika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…