Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

HabariChademamara

Senior Member
Apr 6, 2015
113
91
Wana JF ambao mko Bunda tunaomba kupata updates za mapokezi ya Kiungo Mshambuliaji Ester B pacha wa Halima Mdee huko Bunda kwa wenye taarifa watupatie Pia habari Kangi Lugola.
========

Kamanda Ester Bulaya akisema na wakazi wa Bunda.


Bulaya.jpg

Katibu Mkuu BAWACHA jukwaani muda huu!!
View attachment 270556
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mara kamanda Vincent Nyerere akiwa jukwaani kumtambulisha Kamanda Ester Bulaya kwa wananchi wa Bunda mjini.

View attachment 270558
 
Waambieni kabisa wasile porojo busega tutawapopoa na mawe, yaani wapiti kasi kama msafara wa JK.
 
Ila jana jukwaani Mbowe hajanifurahisha kurudia rudia kusema 'mmesamehewa'. kwa wastani hayuko makini sana anachoongea.
 
Lizibono makapi yamebaki ccm sisi tunabeba zile cream tuuu
Namsubiria na mmoja deo na kangi yaani hapo usajili utakuwa umekamilika
 
Last edited by a moderator:
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom