Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Dr tunapenda kujua muda itaanza saa ngapi tafadhaliTunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo.
Karibuni
Kitila
wadau msisahau leo jumamosi kutakuwa na mjadala wa katiba pale nkrumah kuanzia saa mbili. wazungumzaji wakuu ni prof shivji na jenerali ulimwengu. msikose njooni tujadili hatima ya taifa letu.