Yaliyojiri kikao cha CC ya CCM Jana usiku

Kwanini ccm wana gh'agh'ania kubaki madarakani hata kwa njia za hila na propaganda?
 
Mmmh, livunjwe kirahisi tu, mabilion yamepotea buree, lazima kwanza usuluhishi ufanyike! Watafutwe wazee ambao wana hekima kuweka mambo sawa! Shart gumu hapa msimamo wa kusadikika wa S2 ambao haumo kweny RASIMU II!
Wazee tuliobaki nao ndio hao hao wanaowatukana hadharani au tuazime wazee kutoka Kenya?

Ikifikia hatua ya kulivunja bunge la katiba kwanza JK lazima atueleze pesa zilizotumika atazirudishaje.
 
Udictator hauna nafasi katika karne hii ....................... JK na CCM naona wanataka kuingia choo cha kike!!

Mbona tayari walishaingia chooni na kilichobaki ni kujisaidia tu huku tukiwaangalia mazima?
 
JK hana mawazo mgando kama ya mleta mada. JK angekuwa Dicteta, hata UKAWA wasingekuwepo.

Hii ya sasa ni dunia nyingine kabisa. Kiongozi jifanye dikteta uuone moto. Uliza Mubarak kule Misri yuko wapi sasa? Na alikuwa mmoja wa viongozi wenye nguvu sana hapa Afrika lakini wananchi wamempoteza.
Huu ni ulimwengu wa majadiliano na mariziano tuu kwa sasa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
SUK ni red line kwa CCM na mwenyekiti wake. Ni mambo ya Zenji hayo yanatuhusu wenyewe only. 🐐
 
Mmmh, livunjwe kirahisi tu, mabilion yamepotea buree, lazima kwanza usuluhishi ufanyike! Watafutwe wazee ambao wana hekima kuweka mambo sawa! Shart gumu hapa msimamo wa kusadikika wa S2 ambao haumo kweny RASIMU II!

Kuna wazee wenye busara zaidi ya Warioba, Salim, Butiku, Mwantunu Malale? Ulishawahi kusikia hawa watu wanakurupuka au wakiongea bila ushahidi wa hoja zao?
 
Wana JF,

Fununu toka magazetini ni kuwa kikao cha ghafla kilichoitishwa na mwenyekiti wa CCM mh. Jakaya M. Kikwete kimejadili kuhusu uwezekano wa kuvunja serikali ya umoja wa serikali ya Zanzibar kwani Maalim seif kaisaliti SUK na jambo jengine ni kuhusu kuangalia uwezekano wa kuvunja bunge maalum la katiba kwani uwezekano wa UKAWA kurudi ni mgumu na hivyo katiba haitaweza patikana.

Mwenye mpya zaidi atujuze wakati tunajadili hiki kilichopo .
Pia kikao kimeazimia kuisaidia ACT kuvunja nguvu ya CDM
 
Done only bondo! Dodoma itawezaje kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar!? Kwani wao inawahusu?? Swala la zanzibar linajadiliwa dodoma tena kwa namba kubwa ya watanganyika!! Ccm mnatupeleka pabaya moto ukiwaka zanzibar hakuna mtanganyika atakayepeleka pua yake huko!!
 
Wana JF,

Fununu toka magazetini ni kuwa kikao cha ghafla kilichoitishwa na mwenyekiti wa CCM mh. Jakaya M. Kikwete kimejadili kuhusu uwezekano wa kuvunja serikali ya umoja wa serikali ya Zanzibar kwani Maalim seif kaisaliti SUK na jambo jengine ni kuhusu kuangalia uwezekano wa kuvunja bunge maalum la katiba kwani uwezekano wa UKAWA kurudi ni mgumu na hivyo katiba haitaweza patikana.

Mwenye mpya zaidi atujuze wakati tunajadili hiki kilichopo .

Kama ni kweli, hilo nalo litakuwa tatizo la kufikiria kila kitu ni siasa. Swala la katiba na CC wapi na wapi? Na ndiyo maana mchakato mzima unazorota, kwa sababu watu na akili zao wanashindwa kutofautisha ni wapi chama kihusike ni wapi dola iingilie na ni wapi wananchi waachiwe maamuzi!

Hivi ni kuwa bado hawajaamka tu kuwa siyo sawa CC au CCM kuwaamulia wananchi wote nini watake na nini wasihitaji?
 
JK hana mawazo mgando kama ya mleta mada. JK angekuwa Dicteta, hata UKAWA wasingekuwepo.
Nani wangekuwepo....Elimu ya uraia sina tuhabarishe!
Au ndo wewe wale mnaoshinda kwenye vijiwe vya kawaha mkijidai kujua kila kitu na kudanganyana?
Siasa ni zaidi uijuavyo wewe uliyekaririshwa!
Hata Vyama vingi viliruhusiwa kwa isani ya watu wa marekani si wazo la sisiem!
Kwa jinsi tulivyo omba omba unafikiri tungeweza kubaki na Single party?
 
Wana JF,

Fununu toka magazetini ni kuwa kikao cha ghafla kilichoitishwa na mwenyekiti wa CCM mh. Jakaya M. Kikwete kimejadili kuhusu uwezekano wa kuvunja serikali ya umoja wa serikali ya Zanzibar kwani Maalim seif kaisaliti SUK na jambo jengine ni kuhusu kuangalia uwezekano wa kuvunja bunge maalum la katiba kwani uwezekano wa UKAWA kurudi ni mgumu na hivyo katiba haitaweza patikana.

Mwenye mpya zaidi atujuze wakati tunajadili hiki kilichopo .
Kwa kummtoa Maalim Seif na kuvunja Bunge la Katiba Kikwete atakuwa amefanya uamuzi mgumu uliohitajika kufanwa muda mrefu uliopita.

Suala la kucheka cheka na Maali Sei lilitakiwa kuwa limeshughulikiea kitambo.
Na baada ya mambo hayo muungano utakuwaumepona kwa sasa.
 
Wana JF,

Fununu toka magazetini ni kuwa kikao cha ghafla kilichoitishwa na mwenyekiti wa CCM mh. Jakaya M. Kikwete kimejadili kuhusu uwezekano wa kuvunja serikali ya umoja wa serikali ya Zanzibar kwani Maalim seif kaisaliti SUK na jambo jengine ni kuhusu kuangalia uwezekano wa kuvunja bunge maalum la katiba kwani uwezekano wa UKAWA kurudi ni mgumu na hivyo katiba haitaweza patikana.

Mwenye mpya zaidi atujuze wakati tunajadili hiki kilichopo .

Kuvunja SUK ni ngumu kuliko kuvunja Muungano kama undhani kazi rahisi subiri uone kama referendum ya kivunja SUK itafanikiwa.
 
Hiyo itakuwa hatua muafaka kabisa..seif amedanganywa
 
Suk haina tena maslahi kwa wananchi. Imemnufaisha seif na familia yake pekee
 
Yaani hawa SSM ni kulazimisha tu mambo!!! Hivi huyo Mwenyekiti wenu kabla hajaunguza kodi za wananchi hana washauri? Unatakaje kuvunja umoja ulioamuliwa na wananchi?? Kama mambavyo mnataka kulazimisha tukatae matakwa ya maoni ya serikali tatu halafu tukubali yale yenu ya serikali mbili. Kuvunja Bunge la Katiba ni must maana wale 201 ni mapandikizi tu, tunataka watu ambao wako neutral wanaowakilisha wananchi wote. Halafu hata wale wabunge wenu hawatakiwi kabisa. Chagueni wajumbe neutral maana hata wabunge wetu wana uchama uchama kule. Sijui SSM mnataka kutupeleka wapi. Mnaharibu amani yetu kabisa watanzania.
 
Wana JF,

Fununu toka magazetini ni kuwa kikao cha ghafla kilichoitishwa na mwenyekiti wa CCM mh. Jakaya M. Kikwete kimejadili kuhusu uwezekano wa kuvunja serikali ya umoja wa serikali ya Zanzibar kwani Maalim seif kaisaliti SUK na jambo jengine ni kuhusu kuangalia uwezekano wa kuvunja bunge maalum la katiba kwani uwezekano wa UKAWA kurudi ni mgumu na hivyo katiba haitaweza patikana.

Mwenye mpya zaidi atujuze wakati tunajadili hiki kilichopo .

SUK na UKAWA ni kaa la moto mdomoni mwa CCM. CCM pekee haiwezi kuvunja SUK, kwasababu kwanza itahitaji 2/3 ya BLW ili pendekezo lipelekwe kwa Wazanzibari wote kupigiwa kura. Bila UKAWA kwenye BMK CCM haiwezi kupitisha katiba mpya kwasababu haina 2/3 majority ya kura kwa upande wa ZNZ. Ili kupata 2/3 inabidi CCM ipate wajumbe 16 wa UKAWA kutoka ZNZ. Kweli ulaghai huwa una mwisho! CCM have been caught in a cross road. CCM is now stuck in SH.IT can't move forward or backward.
 
Back
Top Bottom