Yaliyojiri kikao cha CC ya CCM Jana usiku

Yaliyojiri kikao cha CC ya CCM Jana usiku

CCM wataisoma namba mwaka huu., kifo cha mende, miguu juu, ndembe ndembe!
 
Je serikali 2 zilizoboresha ni zipi? .......Mbona watanzania huku site hawaelewi serikali 2 zilizoboreshwa ni zipi?

Naomba Mwanachama wa CCM aje hapa atoe ufafanuzi, serikali 2 zilizoboreshwa zikoje? ....Muundo wake?

Kupinga serikali 3 bila kuwa na alternative ya kutatua kero za muungano ni uungwana kweli?

Katiba mpya bila kutatua kero za muungano ni kuwaingiza watanganyika matatani...
 
Kuivunja Sirikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ya Znz hiyo ni ndoto ya mchana kwa vyama vya siasa. Ikumbukwe kuwa SUK imewekwa pale kutokana na kura za wananchi wa Znz na sio wanasiasa. Na hata ombi lao likipelekwa barazani haliwezi kamwe kupata 2/3 ya kura ya maamuzi.

kama watakuwa wamejadili hilo basi imekula kwao. Msingi mkubwa tu ni KUHISHIMU MAONI YA WANANCHI KATIKA KATIBA MPYA YALIYOWASILISHWA NA JAJI WARIOBA.Ili kuinusuru nchi na khasara ya kukosa katiba mpya wakti wametumia pesa nyingi sana na kuikubali rasimu hiyo ya warioba na kuiboresha sio kuandika upya.


Mkuu umeongea jambo jema sana. in addition ccm wanajua mpaka sasa hatua tuliofikia serikali 3 haziepukiki ila wanatumia kiburi na zarau zidi ya maoni ya wananchi waliowaweka madarakani. Kuna wakati fulani hawa ccm ukiwachunguza utagundua wamevurugana sasa tukae kwa mbele ya luninga tuone hii movie ya ccm.
 
Udictator hauna nafasi katika karne hii ....................... JK na CCM naona wanataka kuingia choo cha kike!!

waingie mara ngapi, wako chooni tayari! Tunasubiri watoke tuwaulize walikuwa wanafanya nini kwenye choo cha jinsia nyingine? Mi nipo! To their surprise watashangaa siku watanzania watakavyoreact tofauti na wanavyowadhania. Unajua hata kifutu ukimkalia, mwanzoni atakuwa anajipindapindi ili uondoke, akiona hutoki anakupiga show.
 
Tusijadili kitu ambacho hakipo! Mleta mada unaonesha una uwezo wa kuja na fununu zaidi ebu fanya hivyo kwanza ndo urudi hapa jamvini!

Hata hivyo Mzee Tupa Tupa alileta uzi huu kuhusu CC ya CCM: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/653547-ukawa-waiteka-cc-ya-ccm.html
 
Mzee CC haikuwa na agenda yoyote husidanganye watu. Mzee alitafuta namna ya kushiriki katika sehere kubwa ya kuapishwa kwa Mwana Mfalme no any more.
 
Back
Top Bottom