Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,960
- 872
Kuna watu wangapi hapo uwanjani jamani?
sio kweli usiwadanganye wenzio.
Kwahiyo unataka kutuambia
kwamba waalimu wanawake ni waoga au wanajali? Je wanaume ni jasiri na
hawajali au hawajielewi?
heri kuwa mkweli kuliko kuwa mnafiki kwa nini mtu usimwonyeshe hasira zako kwa njia ya ustaarabu kama hiyo,kama anajifahamu ajuwe uongozi wake haujali maslahi ya wafanyakaziMgeni rasmi kwenye sherehe za mei mosi mjini Mbeya rais Kikwete akiwa anaingia uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine watu walikuwa wamekaa tu kama vile waliopoteza kabisa matumaini na kiongozi huyu wa serikali. Rais alionyesha uso wa furaha na kuwapungia mkono lakini wengi waliendelea kuketi bila kumpungia mkono mh. rais. Nadhani haya ni mambo rais anabidi asome alama za nyakati vizuri - naleta kwenu wanajf tujadili
Acha unafiki dogo! kwani we uko uwanjani au unaangalia kupitia ka tv kako ka duduproof? watu gani wamemnunia rais? we nani uwasemee watu mawazo yao?
Kuna watu wangapi hapo uwanjani jamani?
Kinana tena, yeye ni nani hadi kwenye mei mosi
Yeye ni mfanyabiashara maarufu sana hapa nchini na nje ya nchi kwa sababu hiyo ameajiri watu wengisana ambao leo wanaadhimisha siku yao ya wafanyakazi. Hasa biashara yake yake ya kuuza meno ya tembo a.k.a pembe za ndovu a.k.a nyara za serikali....Thubutu....sio mfanya biashara wa kimataifa ni Jangili wa Kimataifa na leo anawakilisha majangili wenzie kwenye sherehe za wafanyakazi.......WEKA MBALI NA TEMBO