Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

Kwa Cross Examination aliyokutana nayo mpelelezi Jumanne jana na majibu yake ya "HAPANA, SIJUI" atakuwa ametibua yote waliyoyapanga kwa hao mashahidi wengine waliobaki. Jamuhuri inaaibika, jeshi la polisi linaaibika
Maneno waliyojipangia Ili kupata ushahidi feki yamewaishia,hizi hapana, sijui zitakuwa nyingi Sana awakujipanga kucheza comedy
 
Hii kesi wakati mwingine Mashahidi wa Jamhuri, Jaji anashindwa kucheka mbele yao kwa namna wanavyojichanganya anaamua kwenda kucheka chumbani na mkewe. Et, Ugaidi ungefanyika nchi nzima kwa kutumia bastora ya risasi 3,(Redicusly)

Eti Jambazi Sabaya kutaka kuuwawa ni Ugaidi lakini Lissu aliyepigwa marisasi mbele ya viunga vya bunge si Ugaidi (absurd)
Redicusly? Khaaa Kwa kuandika kiswahili sanifu Kuna shida gani? Mbona tutaelewa tu kamani
 
Hapo Hangaya hana lawama kubwa yeye kafanya alicho paswa kufanya, kupeleka tuhuma mahakamani jambo ambalo ni sahihi uozo uko mahakama yetu na police kupokea kesi ya mchongo kama hiyo. sioni kama chief Hangaya ana kosa katika hili hiyo kesi elitegenezwa na mwendazake pamoja na police.
Chief Hangaya ndiye aliyesema kuwa Mbowe ni gaidi na alitoroka nchi, na wenzake walikwishahukumiwa. Hangaya ni mnafiki. Naye ni kundi moja katika kubambikia watu kesi.

Kama alitaka haki itendekeke kwa nini atoe hukumu kwa jambo ambalo hana uhakika?
 
Chief Hangaya ndiye aliyesema kuwa Mbowe ni gaidi na alitoroka nchi, na wenzake walikwishahukumiwa. Hangaya ni mnafiki. Naye ni kundi moja katika kubambikia watu kesi.

Kama alitaka haki itendekeke kwa nini atoe hukumu kwa jambo ambalo hana uhakika?
Kibibi kuwa kiongo ongo haipendezi
 
Back
Top Bottom