Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

Hapo ndipo ninapomwona Hangaya kuwa ni miongoni mwa Ibilisi.

Huwezi kuufurahia na kuunga mkono ushetani, usiwe sehemu ya utawala wa shetani. Siku yaja, Mungu atadhihirisha ukuu wake ambapo shetani Hangaya na milki yake yote watajua wanayemtumikia hana mamlaka juu ya Mungu atoaye haki kwa wakati ufaao.
Hapo Hangaya hana lawama kubwa yeye kafanya alicho paswa kufanya, kupeleka tuhuma mahakamani jambo ambalo ni sahihi uozo uko mahakama yetu na police kupokea kesi ya mchongo kama hiyo. sioni kama chief Hangaya ana kosa katika hili hiyo kesi elitegenezwa na mwendazake pamoja na police.
 
Huyu Denis Urio ndiye aliyeripoti Mbowe kumtuma Vijana wa kufanya Ugaidi. Kwa Sababu ni Homeboy wa Mbowe. Akaenda kuripoti Polisi kwa Kingai. Mbona hajaletwa Mahakamani kuja kuzibitisha Ushiriki wake? Aje na Voice note, Video na Picha walizokaa na Mbowe. Denis Urio yuko wapi? Shahidi Muhimu na Muasisi wa hii Kesi? Naona wanakuja Shahidi tuu wanasema Kila kitu Sifahamu. Lijenje Yu Wapi? Hivi maana Forensic ni Nini? Mbowe hakukukamatwa kwa Sababu ya Forensic? Campaign za Uchaguzi kafanya, Nec walimpitisha Gaidi kugombea Ubunge? Najiuliza mengiiii
Zaidinya kuripoti kwa Kingai je taarifa hizi za ugaidi mlishirikisha taasis zingine za Usalama kama Tiss? Hapana. Operesheni yenu mlimjulisha RPC wa Kilimanjaro? Hapana. Vitu vya kupika vinakuwa na mapungufu mengi.
 
Hapo Hangaya hana lawama kubwa yeye kafanya alicho paswa kufanya, kupeleka tuhuma mahakamani jambo ambalo ni sahihi uozo uko mahakama yetu na police kupokea kesi ya mchongo kama hiyo. sioni kama chief Hangaya ana kosa katika hili hiyo kesi elitegenezwa na mwendazake pamoja na police.
Chief alijua nibya Kupika. Ilitakiwa ikataliwe kabisa.
 
Chief alijua nibya Kupika. Ilitakiwa ikataliwe kabisa.
Hangaya asinge gomea chama chake na police, ila jambo zuri alilo fanya nikupeleka hi kesi mahakamani mapema ili kuonyesha uonzo wa chama chake na uonevu wa police, anae faidi katika hi kesi ni Mbowe na Chadema kiujumla serikali inapoteza credibility katika jamii.
 
Na uozo uneonekana kweli kweli. Hadi wasiojulikana
 
kibatala is a very smart advocate. Nashauri Mamlaka ya uteuzi umteue afanye kzi za Kitaifa.
 
Hapo ndipo ninapomwona Hangaya kuwa ni miongoni mwa Ibilisi.

Huwezi kuufurahia na kuunga mkono ushetani, usiwe sehemu ya utawala wa shetani. Siku yaja, Mungu atadhihirisha ukuu wake ambapo shetani Hangaya na milki yake yote watajua wanayemtumikia hana mamlaka juu ya Mungu atoaye haki kwa wakati ufaao.

Wamepigwa advertisement kwamba kuna Mungu mwenye haki hats mkiiba uchaguzi na kujipachika madaraka kwa uovu.

Sie wananchi tuko pembeni wanapambana na mwenye haki. Na wasipokaa sawa, kuna pigo lingine liko njiani.

Na yeye si slisema hata watu wapigie upinzani kura serikali lazima iundwe na wao chama kubwa? Yetu macho.

Nilishangaa sana kutoa taarifa bbc kwamba wameshahukumiwa kwa kesi ya ugaidi.
 
Ukiua mtu umewasha bluetooth on popote unamulikwa.
Mtu mwenye akili timamu hawezi ua mtu,sio KILA ukoo damu zao upotea bure.
 
Mungu kawanyima maarifa Ili wamkamate Mbowe waaibike tuujue uovu wao,kesi hii imetusaidia Sana kuwajua wasiojulikana
 
Mbona hao makomandoo kina Ling'wenya, Adamoo na Bwire wanamfahamu physically na kwamba ni Lt wa JWTZ. Hii kesi itaisha katika namna ya ajabu sana.
Lkn wakati huo serikali itakuwa imedharirika kwerikweri au nasema uongo ndugu zangu, eti Kingai na Jumanne si kweri ndg zangu
 
Nataka ukubali kwamba chief Hangaya ana utu na ni Rais mzuri asie penda kuonea watu ila amezungukwa na watu wenye roho mbaya na wanyoonya damu,
Hata Mpwa wa Magufuli juzi kasema hivyo hivyo. Ukiwa na marafiki wa hovyo na wewe unakuwa wa hovyo tu.
 
Kwa nini upande wa mashtaka ndio unapewa nafasi kubwa ya kuamua siku za kesi kusikilizwa? Mahakama si ndio inapaswa kupanga tarehe za kesi kusikilizwa?
 
Kwa Cross Examination aliyokutana nayo mpelelezi Jumanne jana na majibu yake ya "HAPANA, SIJUI" atakuwa ametibua yote waliyoyapanga kwa hao mashahidi wengine waliobaki. Jamuhuri inaaibika, jeshi la polisi linaaibika
 
Back
Top Bottom