Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

mashahidi ndio wanapaswa kuwa wameshafungwa pamoja na general sabaya
... akina J4 waliostahili kuwa jela long time (issue ya Prof. Maeda kubambikiwa pembe za ndovu Arusha na huyo huyo J4) ndio wamesimama vizimbani kushuhudia wenzao uongo! Taifa lisilotenda haki ni machukizo! Halafu leo sijawaona mataga kwenye huu uzi japo kuja kuchafua hali ya hewa; umekuwa shubiri kwao I suspect!
 
Huwaoni wanajua ukweli
 
... kuna viazi wanajitoaga ufahamu bila aibu watakwambia mawio ni magharibi; leo sijawaona kabisa humu!
Kesi imekuwa chungu mno. Ilipofika pamenoga.

Hii kesi kwa akili za kibinadamu tunadhani Mbowe na wenzake wameonewa lakini Mapenzi ya Mungu kuwaumbua
 
Nchi imetolewa sadaka kwa Mapepo waamue maisha ya watu wengine. Alafu mnategemea haki itafanyika?. Yanahaibika maibilisi uku yakijua ndiyo yanauwa na kutesa watu alafu yanabambikiza kesi yanapeleka mahakamani yanakuja kutoa ushaidi wa uongo.Ni MACHUKIZO Makubwa kwa mwenyezi MUNGU
 
Nimejaribu kufikiria wanamshitaki mbowe kesi ya UGAIDI,

Labda wangesema ugaidi wa kulipua ikulu....tena wangekamata shehena ya Ak 47, vifaru vya kivita...maherkopa yaki sasa kama Air force one..... ila huu ni UGAIDI wa kijinga na kipumbavu ambao my Alumin mbowe katu katu.....
Hawezi kuufanya....yaan ukifiatilia unaona ni MICHONGO Mitupu.....

My younger brother Pambalu Nakumbuka kipindi ana anza siasa alivutiwa Sana na freeman Mbowe....

Mbowe kweny Nchi hii ni kama tanuru ametumika Sana kama jiko la kupika viongozi wengi Vijana.....

Naisubiri kwa hamu speech ya mbowe SIKU aki achiliwa huru.....

Hii kesi wange achana nayo ni kudharilisha jeshi la polisi......

Ina maana Tiss na Jwtz wangekua kimya kwenye Hili......leo J4 amelala na viatu....mahakamani

#free freeman
#Mbowe sio gaidi
 
Pia kimbuka yeye siyo malaika pia
Naomba kuuliza , hao wanajeshi wastaaf alikuwa nao wa kazi gani?
 
Pia kimbuka yeye siyo malaika pia
Naomba kuuliza , hao wanajeshi wastaaf alikuwa nao wa kazi gani?
Mbowe Siyo malaika Ni binadamu kabisaaaa.Malaika Ni URIO ambaye amjamleta mahakamani. Mnachonga kinyago alafu kinawaogopesha peleka Urio mahakamani. Mbowe Ni gaidi kamwambia urio nitafutie watu wa kufanya ugaidi alafu urio anawatafuta magaidi wakafanye ugaidi na bado Urio analipwa na Jwtz na anafanya kazi za jeshi wakati Ni Muhusika. Mkiambiwa mjitu meusi Ni majinga fulani hivi watu tunakataa. Sasa unamwachaje mtafuta magaidi wakafanye uharifu na unamlipa?. (Wazungu wanatudharau sababu tunatengeneza wenyewe mazingira ya kuonekana mabogasi.)
 
Nchi imetolewa sadaka kwa Mapepo waamue maisha ya watu wengine. Alafu mnategemea haki itafanyika?. Yanahaibika maibilisi uku yakijua ndiyo yanauwa na kutesa watu alafu yanabambikiza kesi yanapeleka mahakamani yanakuja kutoa ushaidi wa uongo.Ni MACHUKIZO Makubwa kwa mwenyezi MUNGU
Kweli aisee
 
Nimejaribu kufikiria wanamshitaki mbowe kesi ya UGAIDI,

Labda wangesema ugaidi wa kulipua ikulu....tena wangekamata shehena ya Ak 47, vifaru vya kivita...maherkopa yaki sasa kama Air force one..... ila huu ni UGAIDI wa kijinga na kipumbavu ambao my Alumin mbowe katu katu...
Ofcourse Mbowe is still a winner anyway
 
Sio tu hivo mkuu. Yaani inaonekana kesi nzima imetokana na taarifa (sio maelezo) ya Urio. Na wao sasa hawana hata ushahidi wa meseji au sauti ya Mbowe!! Wanasema watuhumiwa...
Huyu Denis Urio ndiye aliyeripoti Mbowe kumtuma Vijana wa kufanya Ugaidi. Kwa Sababu ni Homeboy wa Mbowe. Akaenda kuripoti Polisi kwa Kingai. Mbona hajaletwa Mahakamani kuja kuzibitisha Ushiriki wake?

Aje na Voice note, Video na Picha walizokaa na Mbowe. Denis Urio yuko wapi? Shahidi Muhimu na Muasisi wa hii Kesi? Naona wanakuja Shahidi tuu wanasema Kila kitu Sifahamu.

Lijenje Yu Wapi? Hivi maana Forensic ni Nini? Mbowe hakukukamatwa kwa Sababu ya Forensic? Campaign za Uchaguzi kafanya, Nec walimpitisha Gaidi kugombea Ubunge? Najiuliza mengiiii
 
Hapo ndipo ninapomwona Hangaya kuwa ni miongoni mwa Ibilisi.

Huwezi kuufurahia na kuunga mkono ushetani, usiwe sehemu ya utawala wa shetani. Siku yaja, Mungu atadhihirisha ukuu wake ambapo shetani Hangaya na milki yake yote watajua wanayemtumikia hana mamlaka juu ya Mungu atoaye haki kwa wakati ufaao.
 
Back
Top Bottom