Yaliyojiri Jijini Mwanza: Freeman Mbowe akutana na vijana vyuo vikuu!

mtahangaika sana lakini mwisho wa siku mtajajuta tu mzimu wa zitto uko nanyi kokote mlipo.
 
kila kitu kiko sawa, ulinzi ni wa kutisha mpaka kwenye paa za nyumba. Imenikumbusha ziara ya obama! Vijana wana ari sijawahi kuona!

Update: Ukumbi umeshajaa na viongozi mbali mbali wamewasili tayari, na taarifa kamili ni kuwa kamanda atawasili ndani ya dakika kumi.

Update: Kamanda mawazo anaingia anaingia anashangiliwa sana! Anasalimiana na viongozi mbali mbali.

usisahau kutupia picha mkuu
 
mnafanya mikutano kwa kulindwa mpaka na mbwa wa polisi kisa mzimu wa zito nani aliwaambia mumchokoze zitto mtaipata tu.
 
Hivi Moshi,Arusha hakuna vyuo? mbona kwenye kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Mbowe au Slaa akishirikisha vyuo vya huu ukanda katika siasa na maandamano?
Kule walishaamka, no need kuhamasisha tena. Soon hata kanda ya mwanza hutayasikia yaha kwani hatamu itakuwa imeshashikwa. Laiti ningejua ulipo, nxt move ingekuwa hapo!
 
Mwanza wameisha wapuuza Chaema, Mbowe kaamua kufanya mkutano wa ndani kama send off.
 
Hivi Moshi,Arusha hakuna vyuo? mbona kwenye kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Mbowe au Slaa akishirikisha vyuo vya huu ukanda katika siasa na maandamano?
Wakifanya mikutano Arusha, Kilimanjaro mnasema mbona kila siku Arusha na Moshi...
 
Hapo maccm yanagonga yanarudi... Yanamwogopa kamanda mbowe haooo

Mbowe ataogopwa kwa lipi jamani, akili ndogo kuongoza akili kubwa; kweli hata mm nimekumbuka Mh. Mbowe ni mwenyekiti wa CDM, Mwenyekiti wa kamati ya manunuzi, Afisa manunuzi wa chama,signatory category A wa CDM na mwanahisa wa CDM Saccos!
 
Huvi jamani... Chama cha mapinduzi kinapindua nini??? Au kilipindua nini??
 
Back
Top Bottom