Yaliyojiri Jijini Mwanza: Freeman Mbowe akutana na vijana vyuo vikuu!

Mbowe ni mkweli haya maneno alishatueleza pale African Dream Dodoma kwenye kujenga chama kwa wanazuoni kanda ya kati 2011.
 
Nyie wa b7 mbona mnamwandama sana mbowe na umwenyekiti wa chama,hamna fikra wapo akina lipumba toka kuanzisha chama CUFU mpaka leo je hapo kuna demokrasia,akina mtikila,mrema wote ni hivyohivyo,inaonyesha cdm inawaumiza sana,na mtaendelea kuumia chezea chadema wewe!!
 
Kamanda unafananisha Obama na Mbowe mkuu ni sawa sawa kufananisha Real Madrid na Katavi Rukwa

...mkuu mbowe ni level nyingine sana, na angelelewa na kuishi na kusoma mazingira kama ya obama tungekuwa na rais wa marekani mwenye asili ya tanzania,kamanda mbowe...
 
Kama mtu ataniuliza ni wanasiasa gani wamewahi kunivutia kwenye ulingo huu wa siasa kwa urahisi kabisa ntawataja Freeman Mbowe na Ben Mkapa, wote wawili ni watu wanajiamini sana na wana hoja zenye kumshawishi mtu, mbowe anastahili nafasi aliyonayo
 
Back
Top Bottom