Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

Kuwa wakweli kwa hapa dar CCM imekaa kileleni tayari ..sababu sizitoi leo ila kila aliye dar na anaweza kutembea sehemu hadi sehemu basi ataelewa namaanisha nini ...Magufuri kashashinda tena kwa % kubwa sana
 
Urafiki wa Kikwete na Lowasa ni dhahiri umekufa. Maana anamponda hapa kua katumia helkopta na mikutano ameshindwa kufanya mikutano......

Anaelazimisha urafiki ni Lowassa. Kikwete alishavunja urafiki siku nyingi sana.
 
Magufuli:
Wana Dar es Salaam nadhani mmesikia kuna watu ambao waliwahi kuwa katika nafasi za juu serikalini, wengine waliwahi kuwa Mawaziri Wakuu na washauri wa karibu wa Rais, lakini bila aibu na kumwogopa Mungu wanasimama kwenye makujukwaa na kusema CCM haijafanya lolote. Swali la kujiuliza, kama CCM haijafanya lolote, wao walikuwa wanafanya nini kwa miaka zaidi ya 12 wakiwa Mawaziri wakuu au washauri wa Rais. Kwa nini walibaki ndani ya serikali wakilipwa mishahara wakati walikuwa hawafanyi chochote. Kulipwa mishahara bila kufanya chochote serikalini ni kuwaibia Watanzania. Hawa watu wanasimama kwenye majukwaa wakiwaambia watanzania kimantiki waliwaibia pesa yao kwa miaka zaidi ya 12 kwa sababu hawakufanya lolote wakati tukiwa Mawaziri Wakuu.

Katika hali niliyoitafusiri kama kuchanganyikiwa leo magufuli katoa tena mpya jangwani baada ya kumwambia Rais Kikwete.Nasema wazi, Mheshimiwa Rais Kikwete unisamehe. Uliweka baadhi ya watu madarakani ambao walituchelewesha kwenda mbele
Nimejiuliza huyu mtu naweza kuwa Rais kweli.Huku akijisibu serekali ya JK imefanya makubwa,Huku anakiri maendeleo yamecheleweshwa kwa uteuzi mbovu wa JK
Huyu mtu ni wa kuangalia mara mbili mbili,La sivyo tutazamisha taifa
 
Madereva wangu wa teksi wameniambia leo wamepata mshiko ili waende Jangwani. Wanapaki pale St Joseph (Posta). Nimewaambia sina hiyana, alimradi hesabu itimie.
 
Kuna tatizo tena kubwa, hii ni mara ya pili Kikwete analazimisha kumtambulisha mke wa Magufuli mara ya kwanza ilikuwa siku ya uzinduzi.

Hata alipoletwa Magufuli aliondoka akabaki Janeth na Kikwete, alipopewa nafasi ya kuomba kura akasema tumpe mheshimiwa Magufuli badala ya Mme wangu Magufuli, kuna kitu hakiko sawa.
Hakiko sawa sababu hajaweka neno "mumewang"? Amakweli kunakitu hakiko sawa kichwanikwako.
#HapaKaziTu , mapenzi kafanye chumbanikwako
 
Kuwa wakweli kwa hapa dar CCM imekaa kileleni tayari ..sababu sizitoi leo ila kila aliye dar na anaweza kutembea sehemu hadi sehemu basi ataelewa namaanisha nini ...Magufuri kashashinda tena kwa % kubwa sana

Kwanza weye inaonekana haupo darisalama. Stahili yako ni kula kokoto ili ushibe fasta.
 
SALARY SLIP
Basic Salary 5,000,000.00
GROSS SALARY 5,000,000.00
Less: NSSF/PPF 10%*B5 500,000.00
TAXABLE INCOME 4,500,000.00
Less: INCOME TAX 1,235,900.00
TOTAL STATUTORY DEDUCTIONS 1,735,900.00
NET PAY FOR THIS MONTH 3,264,100.00
Asilimia ya kodi25%

Heri yenu mnaolipa 18%. Wengine wanalipa hadi 25%
Wewe ni mfanyakazi gani hujui kodi ni progressive.Rates increase as scales increase.Kwa hivyo inatumika weighted average
 
Hakiko sawa sababu hajaweka neno "mumewang"? Amakweli kunakitu hakiko sawa kichwanikwako.
#HapaKaziTu , mapenzi kafanye chumbanikwako

Katika hali niliyoitafusiri kama kuchanganyikiwa leo magufuli katoa tena mpya jangwani baada ya kumwambia Rais Kikwete.Nasema wazi, Mheshimiwa Rais Kikwete unisamehe. Uliweka baadhi ya watu madarakani ambao walituchelewesha kwenda mbele
Nimejiuliza huyu mtu naweza kuwa Rais kweli.Huku akijisibu serekali ya JK imefanya makubwa,Huku anakiri maendeleo yamecheleweshwa kwa uteuzi mbovu wa JK
Huyu mtu ni wa kuangalia mara mbili mbili,La sivyo tutazamisha taifa
 
Kesho Jangwani inatapika sijui mtajificha wapi mbwa wa kijani nyie!
 
CCM usanii umewaponza
Mnasema mawaziri wakuu hawakuleta maendeleo lakini hamsemi waziri wenu mkuu ataletaje maendeleo, mnasema kitu kimefanyika kwenye awamu ya mkapa na awamu ya kikwete lakini hapo hapo mnasema mawaziri wakuu na mshauri wa raisi kwa awamu zote hizo ni mafisadi na waliwarudisha nyuma
Kwa nini tu msiseme ukweli kuwa sera zenu zina matatizo? Hakuna atayeweza kutukwamua kiuchumi ndani ya sera zenu ameshindwa sumaye na mkapa, ameshindwa mwinyi , ameshindwa kikwete na pinda ...hakuna atayeweza full stop!!

Sasa mmkalia uongo tu, na unafiki wa kushangaa elimu bure hadi chuo kikuu wakati mkishangilia elimu bure hadi form four!!!! Hivi kati ya wanafunzi wanaomaliza form four wanafunzi wanaokwenda form five nchi nzima ni wangapi na wangapi wanaenda vyuoni, kama mtu anaweza kufanya elimu bure hadi form four anashindwa nini kuifanya bure hadi chuo kikuu??

Ati mtakamata mafisadi, kwani kinachowafanya msiwakamate sasa hivi nini? Mahakama hizihizi mbona zilimfunga Yona na Mramba? Mbona Hao mafisadi mmnaokula nao sahani moja mnawanadi kwenye ubunge??

Lowasa sio fisadi, kama angekuwa fisadi mngekuwa mmeshamsweka jela alipo hamia ukawa kwa jinsi mbavyomchukia

Tunataka mabadiliko ya sera na katiba, hayo ndiyo mabadiliko ya kweli na yeyote anayetusapoti kwa hilo tunamsapoti hatutaki mabadiliko ya sura kumtoa kikwete na kumuweka magufuli wakati kila kitu kipo palepale!

Sera za kuiweka nchi kwenye umaskini, ufisadi, mikopo na kuomba omba mwisho keshokutwa!!!!
 
Nyani haoni kundule.,nani asieyemjua Andrew chenge.,,anna tibaijuka.,ngeleja.,nyalandu..na wengine kibao tu waliopo kwa mafisiem???au ukiondoka ndo ufisadi unapianzia??!!

Kwa hiyo mmehamishia chumbani Kinyesi? CCM inajisafisha nyinyi mnachukua Oil chafu
 
MwanaDiwani hizi picha ni za siku ya ufunguzi...niko hapa hamna mtu!! na ndio maana hujaweka picha inayoonyesha hao watu pamoja na jukwaa kuu...maana utaumbuka
Ndugu,
Hoja yako ni nini?

Mikutano yetu tunarushwa moja kwa moja kwenye Television ili kumaliza marumbano ya kipumbavu kama haya.

Umeangalia kwenye Televions?
 
Back
Top Bottom