Kwanini mkuu? FungukaBinafsi sijachanja na Sina hakika Kama nitachanja.Ahsante
Heshimu watu na maoni yao wew...Harafu kuna muuza genge kule Mbagala ugali wenyewe mtihani,panadol kuzipata kwa manati,yupo bize akipayuka hataki kuchanjwa....
Namaanisha hao wageni waalikwa kikaoni wote ni chanjo positive? Watatusemea Nini sisi wenye mrengo wa kushoto?Unamanisha nini Mkuu?
Chanjo tamuAsante sana, muda huo nitakuwa tayari kusikiliza madini ya wataalam.
sijachanja sintashirikiJamii Forums inakukaribisha kwenye Mjadala wa Ugonjwa wa UVIKO-19 na Waliopata Chanjo
Ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika Clubhouse leo Septemba 2, 2021 kuanzia Saa 11:30 jioni hadi saa 2:00 usiku
Link: UVIKO-19: Mjadala wa waliopata Chanjo - JamiiForums
=====
UPDATES:
=====
=> Dkt. Elisha Osati: Kila siku napokea watu ambao wanataka niwahakikishie wakachanjwe. Sio kwamba hawataki ila wanataka uhakika Tukiendelea kutoa elimu itakuwa jambo zuri. Bahati mbaya hatutoi takwimu lakini tuna wagonjwa wengi katika Wodi zetu #JamiiTalks #UVIKO3
=> Dkt. Aikande Kwayu: Wananchi hawawezi kuona tupo serious wakati kuna mikusanyiko mikubwa Ile imani ya kwamba ugonjwa upo, tukachanje lazima tuoneshe hatari ya ugonjwa na tuoneshe tupo serious kupambana #JamiiTalks #UVIKO3
=> Dkt. Aikande Kwayu: Ni muhimu 'ku-engage' Viongozi wa Dini kwa nguvu sana kuhakikisha chanjo inaongelewa Misikitini au Kanisani Issue ya wasiwasi wa chanjo sio Tanzania tu ni duniani #JamiiTalks #UVIKO3
=> Neema Lugangira: Tunahitaji Wataalamu wetu wa Afya kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa sahihi. Vituo vya Afya vipo ngazi zote #JamiiTalks #UVIKO3
=> Mbaraka Islam: Sisi kama Vyombo vya Habari tuna wajibu mkubwa kusaidia jamii. Hili suala linahusu maisha ya watu Tufike mahala tuchukulie hii kama vita kwasababu watu wanakufa. Bahati mbaya tumeweka mzaha #JamiiTalks #UVIKO3
=> Mbaraka Islam: Wanahabari tuziache Habari zinazopotosha. Tuwatumie Wataalamu na wao wajitokeze mara kwa mara kwa kuandika makala, redio nk Sio lazima Serikali au Wabunge wafanye kazi, Watu wote wajitolee #JamiiForums #UVIKO3
=> Jeff Msangi: Tanzania ingeweza kujaribu kuondoa misinformation kwa kuondoa vitu mbalimbali Kitu ambacho naona kinasumbua kusaidia watu wengi wapate chanjo ni mixed messages. Takwimu zingeweza kusaidia watu kwenda kuchanja. Bila kupeleka taarifa kwa Umma ni sawa na kazi bure
=> Dkt. Francis Furia: Kumekuwa na mabadiliko kwa sasa hivi. Wizara ina timu ya wataalamu ambao wamekuwa wakiendesha vipindi vya TV na Redio Kuna jitihada imefanyika, changamoto ni kwamba ili tuweze kufanikiwa ni lazima iwe effort ya timu yote sio Wataalamu wa Afya pekee #UVIKO3
=> Semkae: Suala la trust kwenye chanjo ni muhimu. Mama akimwambia Binti bado hujazaa chanjo itakuletea madhara, binti hana budi kumuamini Familia na mtu anaposhinda ni jambo la kuzingatia, kama unashinda na watu wasioamini chanjo, hata daktari akisema ni salama hatomuamini
=> Neema Lugangira: Lipo kundi kubwa ambalo halijaamua kama linataka kuchanja au la, tunapaswa ku-focus kwenye kundi hilo Political will ipo kubwa sana, lakini lazima tuunganishe effort zote (Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wasanii nk) tuweze kuongea lugha moja #UVIKO3 #JamiiTalks
=> @DrMabula: Ni kwa muda mrefu takwimu za Maambukizi hazijatolewa na hata ukiuliza Wizarani ni kama kila Mtu anamtupia mwingine mpira Kuna Watu wanataka kupata Chanjo lakini kutokana na ratiba zao za majukumu muda wanaopata nafasi wanakuta hakuna Kituo ambacho kipo wazi #UVIKO3
=> Onesmo Ole Ngurumwa: Haifai kulazimisha watu kuchanja kwa sababu suala la afya ni suala binafsi > Lakini suala la COVID-19 ni tofauti kwa kuwa ni suala la kitaifa sio binafsi tena
=> Dkt. Namala: Watu wanaotoa taarifa za uongo wafuatwe na wahojiwe na wanahabari, wanaowapa taarifa pia wafuatwe na kuulizwa > Kisha wanahabari wajibu zile hoja za wote wanaotoa taarifa za uongo. Lakini tukiacha waongee tu, tutawagawa watu
=> Neema Lugangira: Tusiwe na hofu kuhusu chanjo zilizopo kuexpire. Hata Afrika Kusini batch kubwa ya kwanza ya chanjo iliexpire Tupo katika sensitive period ambayo chanjo imetambulika. Kuna kundi kubwa lipo katikati halijafanya maamuzi #JamiiTalks #UVIKO3
=> Dkt. Elisha Osati: Hizi dozi za kwanza zinaweza zisifike malengo zikaexpire. Tuliochanja tukijitokeza zaidi na kuwa Mabalozi watu watachanja Ukimbadilisha mtu mmoja kwenye familia, wengine wanabadilika #JamiiTalks #UVIKO3
=> Onesmo Olengurumwa: Huenda tusifikie lengo la uchanjaji. Mentality ya kwamba Tanzania ni kisiwa na hatuwezi kuathiriwa ni kubwa sana Tulikosea kuamini kama Rais amechanja Watanzania wengine nao watachanja. Hatuna coordinated campaign ya watanzania kuchanjwa #JamiiTalks #UVIKO3
=> Dkt. Francis: Tulikosea kukosa mpango wa namna ya kutoa chanjo kwa kudhani kwamba Rais akichanja basi watanzania watachanjo Lazima tuwe na kampeni ya kitaifa ya kuchanja kama tulivyokufa na kampeni ya kitaifa ya COVID-19
=> Neema Lugangira: Kwenye upotoshaji wa masuala ya #COVID19, kundi ambalo limeonekana moja kwa moja ni kundi ambalo hata mimi nimo Wataalamu wa Afya mnayo kazi kuhakikisha hakuna jumbe tofauti kati yenu nyuma wa pazia. Lipo kundi ambao halikubali chanjo #JamiiTalks #UVIKO3
View attachment 1921196View attachment 1921197View attachment 1921198View attachment 1921199View attachment 1921200View attachment 1921201View attachment 1921202View attachment 1921203View attachment 1921204View attachment 1921205
+
Ant-vaxxer bwashe. Omba tu mungu lisikukute utajuta. Nenda kachanje broNa sisi ant vacancies tuheshimiwe
Hongera sanaNimemaliza dose zote.
naona wapi mjadala?Jamii Forums inakukaribisha kwenye Mjadala wa Ugonjwa wa UVIKO-19 na Waliopata Chanjo

=> Dkt. Francis: Kuwalazimisha watu kupata chanjo ni suala zuri, lakini kwa kuwa tunachanjo chache itakuwa haiwezekani kwa kuwa hazitoshi Ukiona juhudi zilizowahi kuwekwa kwenye vitambulisho vya wajasiriamali unaweza ukaona kuwa inawezekana kuwafikia watu wote
=> Dkt. Elisha Osati: Ni kweli mtu anaweza kuugua baada ya kupata chanjo. Malengo mapana ya chanjo sio tu usipate ugonjwa Lazima watu waelewe ukipata chanjo unaweza kuumwa, ila ugonjwa wako utakuwa very 'mild' #JamiiTalks #UVIKO3