Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

CCM wanaongoza hii nchi nzima na hao wote uliowataja, pamoja na wewe na baba'ko na chama chako. Kumbuka hilo.

Hayo mambo ya babaake yamekujaje hapa? Mbona we mwanamke kinywa chako kimejaa matusi au hicho kinywa unakitumia lwa mambo mengine zaidi ya kusemea na chakula? Mtoto wa kiislamu utadhani hujafundwa? Sasa katika maadili wewe una tofauti gani na Sitti yule mwenye umri wa aina mbili?
Tofauti yake nawe ni kuwa yule anaachia paja nje wewe unatumia mdomo kwa matumizi yasiyo rasmi. Badilika.
 
Funguwa akili yak iliyo finyu. Hakuna mkataba wa kibiashara hususan kubwa zenye ushindani wa Kimataifa ukawekewa wewe wazi uisome.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kufundishwa ujinga?
Sasa kama hauja soma mkataba wowote ule ukajua kilichomo ndani kwa nini sasa una sifia? Wewe mama akili hauna unasifia mambo ya kijinga kisa huyo mkwe.re ni muumini mwenzetu? Nenda shule achana na madrasa hizo ebo.
 
Tanzania imechangia ujenzi wa mji wa YorkShire thru Almasi ya Mwadui, Economic Ressession ya USA hudhibitiwa na Gold ya Tanzania! Power productions ndani ya USA na JApan unategemea kwa kiasi kikubwa Uranium ya Tanzania... Majeshi ya Tanzania yanatumika kulinda interest ya USA! Zaidi ya Billion 400 Zimechotwa Benki Kuu Via IPTL na Mawarizi wamegawana kiasi kikubwa!!! MIkataba mibovu yote ya CCM yanasaidia kutorosha Utajiri wa nchi yetu kwenda ulaya na sasa China... Mrejesho wa Ufisadi utaupata zaidi kwa Nape na Nchemba...
Tupewe Mrejesho kwanza wa harambee zilizopita!
 
Sasa kama hauja soma mkataba wowote ule ukajua kilichomo ndani kwa nini sasa una sifia? Wewe mama akili hauna unasifia mambo ya kijinga kisa huyo mkwe.re ni muumini mwenzetu? Nenda shule achana na madrasa hizo ebo.

Ewe punguani, uliousoma wewe ukauponda uko wapi? unaongelea hewa?

IMG_4004.jpg
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).


Kichwa hicho kazini. Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.

Hasid mkubwa wee.
 
Ewe punguani, uliousoma wewe ukauponda uko wapi? unaongelea hewa?

IMG_4004.jpg
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).


Kichwa hicho kazini. Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.

Hasid mkubwa wee.

Ha ha ha mi nilijua mtu akivaa hijabu anakua na heshima kumbe ni tofauti kabisa,hauna tofauti na aunt ezekiel wewe.
 
operesheni ya kuwachangia wachanga kweli wajinga mhe

Kwani uliambiwa wachaga wako nje ya nchi hii au ulisikia wachaga wana nyumba uswiz au marekani vp hao wachaga hawako tz? Haya ! vp hao wanaobeba ng'ombe"sorry twiga wazima kwenda huko ndo wanakufaa kuckia mchaga...?? au unaenda kwa kukalilishwa? una akili tumia acha kutumia za wenzako!!!
 
Kama wakitangaza pungufu ya milion 500 basi ujue tayari mbowe na lema wameshapiga mpunga wa kufa mtu. Hapa tu jf kulikojaa majobless kuna watu walikua wana-comment kuwa wamechanga laki 3.

mbona una kimuhemuhe kama mwanamke mwenye UCHUNGU anayekaribia kujifungua? tulia sindano ikuingie!
 
Usikute huyu naye ni msomi ambaye amekaa na kusota chuo miaka 4 au 5 alafu angalieni anachoandika. Daah inasikitisha sana! Ni kheri kuishia darasa la saba kama Shyland lakini ukawa mtu mwenye hekima na busara

watu wengi huwa wanakabidhi akili zao kwa mwenyekiti.
 
Last edited by a moderator:
Bora AUNT EZEKIEL kuliko JOYCE MUKYA...aliyezaaa na FREEMAN MBOWE ilhali akijua ni mme wa mtu.

mhhh ya kweli hayo hivi ------ ana watoto wangapi vile kwa mke halali?ni nani vile aliyefumaniwa na mke wa mtu akaulaz igunga? komba ndo kichwa chenu aliyejipiga picha na mchepuko? huwa siku zote nawaona wavaa hijabu mnahekima kumbe waganga njaa tu. inabidi nchi hii tupitishe sheria ya mkwepa kitimoto yoyote iwe marufuku kugombea urais sababu mme-prove failures tu. tulimpa mzee mwinyi akahonga mpaka mbuni wa ikulu shenzy type
 
Amesema ccm haina ubavu kupambana na ukawa ila wanasaidiwa na vyombo vya dola kuvibana vyama pinzani ila wajiandae kuanzia jumatatu mchaka mchaka una anza kote nchini
 
"imperialist and their puppets are paper tigers" by mao tsetung, nami nasema ccm na vibaraka wao ni lain km toilet paper
 
Hilo mbona lipo wazi muda mrefu tu?,Imefikia hatua mtu ukimuona police unaanza kumtafakari tofauti kwa sbb yakutumika vibaya na Ccm,nakumbuka kuna binamuyangu alitaka kujiunga chuo cha police ndugu tukachachamaa kweli ikabidi tumshauri na mwishowake tukamchangia pesa zamtaji na sasa anafanya biashara hatakama ni ndogo lakini ina baraka za Mungu kuliko alipotaka kwenda
 
Mnapiga kelele tu humu..ccm wenzenu tayari wameshafanya maboresho daftari la wanachama wao nchi nzima, sasa wanatafuta kura kwa wasio kuwa wanachama
 
Back
Top Bottom