Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Amesema ccm haina ubavu kupambana na ukawa ila wanasaidiwa na vyombo vya dola kuvibana vyama pinzani ila wajiandae kuanzia jumatatu mchaka mchaka una anza kote nchini
Mbona hata chadema bila kundi la kuuwa watu na kumwagia tindikali watu ni chama chepesi sana.
 
Dr Slaa amefilisika kimawazo
Dr slaa siku zote mweupe tu mtupu kabisa hana dira kama mpaka leo miaka 67 bado anamchumba unategemea nini,hana tofauti na huyu kijana wake wa bavicha.
 
Hilo mbona lipo wazi muda mrefu tu?,Imefikia hatua mtu ukimuona police unaanza kumtafakari tofauti kwa sbb yakutumika vibaya na Ccm,nakumbuka kuna binamuyangu alitaka kujiunga chuo cha police ndugu tukachachamaa kweli ikabidi tumshauri na mwishowake tukamchangia pesa zamtaji na sasa anafanya biashara hatakama ni ndogo lakini ina baraka za Mungu kuliko alipotaka kwenda
Nilidhani unahoja kumbe unarukaruka tu hujui kitu chochote kuhusu chadema hiki ni chama cha maneno mengi na kuandamana hakina dira yoyote.
 
Mnapiga kelele tu humu..ccm wenzenu tayari wameshafanya maboresho daftari la wanachama wao nchi nzima, sasa wanatafuta kura kwa wasio kuwa wanachama


Mimi nilidhani unasema wameshapiga kura kumbe nikujiandikisha kwenye makalatasi tu? Au haujaona mtu anaandikwa na anabadilika? Haujasikia mpango mpya wa kisasa wa Cdm kuandikisha na kupata wanachama zaidi na wapya?
 
I agree 100% plus! CCM bila Police, Jeshi, TISS hawana ubavu wa kushinda uchaguzi wowote nchini! ... Wananchi wanachuki kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali yake kutokana na Ujangili usio na kikomo, UFISADI wa kutisha huku wananchi maisha yakiendelea kuwa magumu kila siku! Wananchi hawana Umeme, Maji, huduma za Elimu na Afya ziko chini kuliko! Wafanyakazi wanakamuliwa PAYEE kubwa huku wakilipwa mishahara kiduchu ukilinganisha na Wabunge wasanii!!! Wafanyabiasha wanakamuliwa baada ya wahisani kugoma kutoa misaada!... Madini yanatoroshwa via mikataba ya kisengest ever!... CCM huwa haishindi ndani ya sanduku la kura bali Via Tume ya Uchaguzi kwa kushirikiana kwa karibu sana na Vyombo vya Usalama nchini ....
Amesema ccm haina ubavu kupambana na ukawa ila wanasaidiwa na vyombo vya dola kuvibana vyama pinzani ila wajiandae kuanzia jumatatu mchaka mchaka una anza kote nchini
 
Dr slaa siku zote mweupe tu mtupu kabisa hana dira kama mpaka leo miaka 67 bado anamchumba unategemea nini,hana tofauti na huyu kijana wake wa bavicha.

Mkuu Dk. slaa unaweza ukamlinganisha nayule ------ ambae leo anasema hili kesho lile katika mada moja…?? Slaa na yule msanii wa bongo movie wenu ------ nani anajielewa unafikir?
 
Ndugu yangu huyo unayemsema ndie mwanzilishi wa hiyo benki. Yaani kupewa uenyekiti tena kwa kura za wajumbe inakutia simanzi? Kwa kweli roho zetu nyeusi kama tulivyo na ndio maana hata kupata riziki kwa Mungu inakuwa ni kazi.

Hawa ni watu ambao hawajui bodi Za wakurugenzi zinaendeshwaje ..au AgM ....,kura kwenye bodi au mkutano Mkuu wa mwaka hutegemea Hisa zako ....mnaweza wajumbe 100 Kumpa mtu kura na mwezenu akapata kura nne lakini Zenye Hisa asilimia 75% ...Huyo Ndie mshindi .....mwenye Mtaji mkubwa Ndie mwenye kura na uchungu Zaidi ..

Hata benki ya dunia ....Nchi Kama Mafekani na Uingereza .belgium etc ..wanauwezo wa kukwamisha jambo lolote kwa kuwa Wakati benki ya dunia inaanza wao waliweka Mtaji mkubwa ....Sasa basi ikiwa Minority shareholders mnataka kutoa mwenyekiti ni lazima mfanye lobbying kabla na mkubalike na major shareholder ..Huwa inatokea...lakini sio mnapoingia na kura zenu Za Pamoja lakini Hisa ndogo hata muwe Wangapi mnashindwa...that is what we call corporate politics
 
Nilidhani unahoja kumbe unarukaruka tu hujui kitu chochote kuhusu chadema hiki ni chama cha maneno mengi na kuandamana hakina dira yoyote.


Asiyejua vyama vya maneno navisivyo nautekelezaji nimtu kama wewe unayetumikia mafisadi nawahujumu uchumi,aliyeahidi Maisha bora kwa kila mtanzania kwa kasi mpya na nguvu mpya na yameshindikana licha yakutangazwa bila kushinda ni Cdm?.Anayeshinda anazurula na kutuaibisha Watanganyika kwa kuombaomba akiamini huko ndiko kwenye pesa nyingi akitumia jinaletu eti tumemtuma akaombe ni Cdm?.Waliochukua pesa za Escrow ni Cdm?.Mwenye meli iliyokamatwa na meno ya Tembo ni Cdm?.Anayeongoza nchi nakushindwa kutekeleza ahadi lichayakuwepo kila kitu ni Cdm?.Nduguyangu fikiri kabla ya kupost
 
Hivi Mchagga ni Tusi ?? Aliuliza Slaa ....Hivi tuone aibu kusema Mchagga ?? ....why hate ??
Na " Mchagga " ni phrase inatotumiwa kuwakilisha Makabila yote yaliyoko Kaskazini .....Nadhani wakabila Ndio Hao wenye mawazo ya kuwabagua ...
 
Nilidhani unahoja kumbe unarukaruka tu hujui kitu chochote kuhusu chadema hiki ni chama cha maneno mengi na kuandamana hakina dira yoyote.

Ccm haina kitu,ni sawa na debe tupu tu,hata vijana wake waliojazana humu kwa malipo ya buku 7 ni wepesi,hawana hoja zaidi ya mipasho ndio maana mimi huwaona kama mashangingi flani hivi
 
quote_icon.png
By Ritz
Marejesho ya michango iliyopita ya M4C mbona wanachama hawajafahamishwa au ukihoji unaitwa msaliti na unafukuzwa,
mbona wale wa mabilioni hujaholi au nawe umo tumekusikia
 
Ndugu yangu huyo unayemsema ndie mwanzilishi wa hiyo benki. Yaani kupewa uenyekiti tena kwa kura za wajumbe inakutia simanzi? Kwa kweli roho zetu nyeusi kama tulivyo na ndio maana hata kupata riziki kwa Mungu inakuwa ni kazi.

Sababu sio kuwa huyo bwana ni mwanzilishi wa hiyo benki kwani katika kuianzisha hiyo benki hakuwa peke yake tulikuwapo wengi; hata hivyo katika bodi hiyo yeye sio mwanzilishi peke yake!! Ukweli ni kwamba ana uhusiano wa kimaslahi na management iliyopo at the expense ya wanahisa wazawa; hivyo kuwepo yeye kama mwenyekiti kunampa fulsa ya kuweza kuficha madudu wanayoifanyia hiyo benki!! Kumbuka hii benki toka hii management imeingia miaka chungu nzima sasa hata siku moja haijawahi kuwalipa wanahisa wake gawio!!! At the same time kila mwaka hawa wazungu wanachukua mabilioni ya shilingi kama management fees; kama huu sio wizi ni kitu gani?
 
Nimejaribu kuchangia chama kwa njia ya Airtel Money lakini nimeshindwa, naomba mfafanue vizuri hizo procedures, kwa mfano.

Nime-bofya-----*150*60#


Nika---chagua tuma pesa....


sasa hatua ya 3 ndo imenichanganya-----Chadema wanasema---chagua jina la fumbo----ndo lipi kwa mfano? mnisaidie nichangie haraka hapa.
 
Je ni vipi mtu anaweza kuchangia kupitia mitandao mingine, kwa mfano Tigopesa?
 
Jamani hatukupata namba za Tigopesa na taratibu za kuchangia. Mwenye maelezo aweke tujichange.
 
..... Makamanda..! Vip Ule Mkakati Uliozinduliwa Pale Serena Wa Kuchangia Chama Chetu Kwa Njia Ya Simu Umefikia Wapi? Naomba Kujuzwa Tumeshapata Shiling Ngapi.
 
Unataka kujua mapato pekeyake au mapato na matumizi?....nadhani hiyo kitu ndo ilimletea songombingo ZZK mpaka akatengenezewa zengwe la usaliti
 
..... Makamanda..! Vip Ule Mkakati Uliozinduliwa Pale Serena Wa Kuchangia Chama Chetu Kwa Njia Ya Simu Umefikia Wapi? Naomba Kujuzwa Tumeshapata Shiling Ngapi.
Mpaka sasa hivi chama kinakufikia hapo ulipo namikutano juu je kinaendeshwa na kudra za Mwenyezi Mungu?

Chadema Kwanza
 
Back
Top Bottom