tamaudj
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 270
- 108
Vuta subira mkuu utachangia tu ila omba mungu tanesco wasishinikizwi na lumbumba kutunyima fursa hii ya kihistoria
Hapa mwanza tayari umekatwa sasa hivi saa2 na dk 23inatisha hii hali aisee.
Vuta subira mkuu utachangia tu ila omba mungu tanesco wasishinikizwi na lumbumba kutunyima fursa hii ya kihistoria
Tupeni namba na jina la MPESA tuchangie.
Hivi umeme unavyokatika kila siku maeneo tofauti ya Tanzania ni kuhujumu Chadema, mimi nipo Karatu umeme upo na ninasubiri kuangalia harambee ya Chadema.
Hivi umeme unavyokatika kila siku maeneo tofauti ya Tanzania ni kuhujumu Chadema, mimi nipo Karatu umeme upo na ninasubiri kuangalia harambee ya Chadema.
Tupeni namba na jina la MPESA tuchangie.
Hapa mwanza tayari umekatwa sasa hivi saa2 na dk 23inatisha hii hali aisee.
Iheshimuni mamlaka zote, sssssm ndiyo mpango mzima cdm ndiyo wanazima ili nchi isitawalikeHapa mwanza tayari umekatwa sasa hivi saa2 na dk 23inatisha hii hali aisee.
Hizi pesa ni za UKAWA au Chadema?
Iheshimuni mamlaka zote, sssssm ndiyo mpango mzima cdm ndiyo wanazima ili nchi isitawalike
Ha ha ha mkuu umenipa raha sana! Hayo mambo yalifanyika enzi za kupigania uhuru. Wakati huo mtu kujitolea nyumba yake kwa matumizi ya TANU wala haikuwa jambo la ajabu bali ni hamasa tuu. Sasa kama hamasa hiyo imerudi maana yake ni kuwa ukombozi wa pili umekaribia. Ngoja nami niijaze account yangu ya Mpesa nisubiri wakati tuu. Unapiga laki unatulia kidogo, hamasa ikipanda unatwanga laki mbili tena na mzuka ukipanda hapo ndio usiseme.
Ngoja nikatwange Kinana zangu kadhaa ili mzuka upande vizuri bila chenga.
Hizi pesa ni za UKAWA au Chadema?
siamin ulichopost mkuu,hvi ni kwel cdm wanaweza fanya huo mchezo?
Wanachadema fungukeni sasa,,mna haki ya kudai ripoti za mapato na matumizi.
Tuache kuburuzwa makamanda.
Ndoa ina wiki tu Chadema wameshaanza ubaguzi
Hivi mkurugenzi wa tanesco.sasa hivi anaitwa nani?
Acha utoto wewe Mimi niko mkoa Fulani na Umeme hupo! Kwanza hiyo harambee ni utapeli mtupu ndani ya chadema!