Hivi hela zote chadema wanazokusanya wanapeleka wapi???
Kazi kuu ya fedha ni kutumika, uliza swali?
Hivi hela zote chadema wanazokusanya wanapeleka wapi???
Hujui unacho kinena, inakuaje Mbowe akikopeshe chama afu walalahoi ndo wachangie? Mpaka hapo bado hamshtuki tu...!! Inaonekana file win32 system ime-corrupt kwenye mind zenu inabidi mfanyiwe formatting

Mmiliki wa ITV ni kabila gani??
Hivi hela zote chadema wanazokusanya wanapeleka wapi???
Wanachadema fungukeni sasa,,mna haki ya kudai ripoti za mapato na matumizi.
Tuache kuburuzwa makamanda.
HATI yenye MASHAKA,ni unyonyaji huu,MBOWE anakikopesha chama,wengine wachangie duuuh
Acha utoto wewe Mimi niko mkoa Fulani na Umeme hupo! Kwanza hiyo harambee ni utapeli mtupu ndani ya chadema!
Hivi umeme unavyokatika kila siku maeneo tofauti ya Tanzania ni kuhujumu Chadema, mimi nipo Karatu umeme upo na ninasubiri kuangalia harambee ya Chadema.
Huku Lindi tunahamu ya kuichangia Chadema maabara ni kazi ya serikali ila tunaongezea nguvu.
Kama Karatu kuna ubena sawa.Acha uongo nimekuona leo ubena somoz ukicheza dhumna
Tanescoccm, Tbccm, ccmTISS na polisisiemu ni majanga makubwa ya taifa hili.