Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Kumbe ni uzinduzi wa Programu mpya ya CHADEMA.

Kweli CHADEMA ni matapeli SUGU.

- Kila siku zinazinduliwa programu mpya na zile za awali hazijajulikana zimesaidia nini.



Mambo ya Chadema yanakuhusu nini mpaka unaweweseka namnahii? Poleni sana mpaka mtataga,hamurali hali keshokuwa ngumu
 
Marejesho ya michango iliyopita ya M4C mbona wanachama hawajafahamishwa au ukihoji unaitwa msaliti na unafukuzwa,


Utaumwa sana safari hii ,wapigie tanesco wakate umeme ili uridhike.
 
Yaaah nikweli kabisa sauti hamna tena hii imetokea baada ya taarifa ya Habari Duh!
kwa wale woote wanaotumia Decoder za startimes kwenye Remote yako Angalia neno TRACK uki> utaona Stereo, Left na Right
basi jaribu kuchange hapo utapata sauti japo si nzuri sana
 
Bukinafaso wameonyesha dunia maana ya peoples power... soon Wabongo watazinduka na kuwaonyesha CCM maana hali ya Nguvu ya Umma...
 
Back
Top Bottom