Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Kutakuwa na harambee ya CHADEMA itakayofanyika kesho tarehe 31/10/2014 katika ukimbu wa Serena Hotel na kurushwa live na ITV kuanzia saa 3 usiku mpaka 5 usiku.
Katika harambee hiyo,CHADEMA watazindua matumizi ya teknolojia katika siasa.
CHANZO:ITV
kamanda wale wa copy hawatachelewa