Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Wanachadema fungukeni sasa,,mna haki ya kudai ripoti za mapato na matumizi.

Tuache kuburuzwa makamanda.
 
Marejesho ya michango iliyopita ya M4C mbona wanachama hawajafahamishwa au ukihoji unaitwa msaliti na unafukuzwa,

ya ccm yalisomwa lini?mchango wangu kwa chadema nitatoa kwa m-pesa Leo usiku.
 
Kutakuwa na harambee ya CHADEMA itakayofanyika kesho tarehe 31/10/2014 katika ukimbu wa Serena Hotel na kurushwa live na ITV kuanzia saa 3 usiku mpaka 5 usiku.

Katika harambee hiyo,CHADEMA watazindua matumizi ya teknolojia katika siasa.

CHANZO:ITV

Tahadhari:TANESCO msitukatie umeme kwa kisingizio chochote kile.

Tayari niko kwenye runinga nasubilia mda tu.
 
Kutakuwa na harambee ya CHADEMA itakayofanyika kesho tarehe 31/10/2014 katika ukimbu wa Serena Hotel na kurushwa live na ITV kuanzia saa 3 usiku mpaka 5 usiku.

Katika harambee hiyo,CHADEMA watazindua matumizi ya teknolojia katika siasa.

CHANZO:ITV

Tahadhari:TANESCO msitukatie umeme kwa kisingizio chochote kile.

habari ya mujini si ni ukawa, chadema inatokea wapi tena? au chadema ndio ukawa na ukawa ni chadema?
 
Kutakuwa na harambee ya CHADEMA itakayofanyika kesho tarehe 31/10/2014 katika ukimbu wa Serena Hotel na kurushwa live na ITV kuanzia saa 3 usiku mpaka 5 usiku.

Katika harambee hiyo,CHADEMA watazindua matumizi ya teknolojia katika siasa.

CHANZO:ITV

Tahadhari:TANESCO msitukatie umeme kwa kisingizio chochote kile.
Hivi labda ndio nimeamua kuipa cdm jengo langu kubwa lililo katikati ya jiji , nakujaje hapo serena , nije na hati ya jengo au nije na funguo za geti la mbele ?
 
Hivi labda ndio nimeamua kuipa cdm jengo langu kubwa lililo katikati ya jiji , nakujaje hapo serena , nije na hati ya jengo au nije na funguo za geti la mbele ?

Ha ha ha mkuu umenipa raha sana! Hayo mambo yalifanyika enzi za kupigania uhuru. Wakati huo mtu kujitolea nyumba yake kwa matumizi ya TANU wala haikuwa jambo la ajabu bali ni hamasa tuu. Sasa kama hamasa hiyo imerudi maana yake ni kuwa ukombozi wa pili umekaribia. Ngoja nami niijaze account yangu ya Mpesa nisubiri wakati tuu. Unapiga laki unatulia kidogo, hamasa ikipanda unatwanga laki mbili tena na mzuka ukipanda hapo ndio usiseme.
Ngoja nikatwange Kinana zangu kadhaa ili mzuka upande vizuri bila chenga.
 
Naomba Mungu foleni iwe imepungua maana nitakuwa ukumbini mojakwamoja maana Tanesco hawachelewi kufanya vitu vyao chezea maagizo wewe!
 
Pusi wamejaa MSALANI, wanajimaliza wenyewe!

Hujui unacho kinena, inakuaje Mbowe akikopeshe chama afu walalahoi ndo wachangie? Mpaka hapo bado hamshtuki tu...!! Inaonekana file win32 system ime-corrupt kwenye mind zenu inabidi mfanyiwe formatting
 
Back
Top Bottom