Chikaka Sumuni
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,337
- 773
ITV mimi nipo hapa ukumbini lakini nimepokea taarifa matangazo hayana sauti fanyeni juu chini watanzania wasikie kinachoendelea!
Badilisheni nyaya kwenye ving'amuzi vyenu sauti iko kwenye channel ya pili. Poleni kwa usumbufu hata nami ilinitesa hivyohivyo