MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
BABU arudishe kwanza fedha za ruzuku alizokwapua, ndipo aanze porojo zake!
Nasary anachat na SIMU wakati sala inaendelea, chama kina wahuni hiki!
Slaa kabadilisha tena walio muibia kura kumbe siyo Usalama wa taifa Tena bali ni Tume ya taifa ya Uchaguzi!
Bora msiangalie kabisa maana dr slaa anaongea pumba tu
Mwambie Mzee Slaa haya maneno,
Mnajidai kumtaja Mungu ilhali mnaendekeza Uzinzi, ulevi, ufisadi na wizi.
Punguzeni poropoganda..
Slaa kabadilisha tena walio muibia kura kumbe siyo Usalama wa taifa Tena bali ni Tume ya taifa ya Uchaguzi!
mbatia yupo,mzee makidi yupo na lipumba amewakilishwa na ujumbe mzito wa cuf kitaifa sasa uongo wa nini? utakuwa unakunwa ku nyuma.