Nilitaka nishangae Chadema atulie kwenye ndoa,ameshaanza mchepuko
Acheni ubwege nyie hivi kwann muhadisiwe, kaangalieni itv mumuone Moses Machali pamoja na Fransis Mbatia.
Nilitaka nishangae Chadema atulie kwenye ndoa,ameshaanza mchepuko
dua la chadema limewalenga wao kiislamu huwezi ukawaombea mabaya wenzako omba yako kwa hiyo dua zero
Tumekusikia Mtume MSALANI .Kuna jamaa anasali kwa kufanya kebehi na Mungu.
Badala ya umeme wameamua kuingilia mawasiliano no sauti
baada ya kuona mmeshtukia watakata umeme
Yaaah nikweli kabisa sauti hamna tena hii imetokea baada ya taarifa ya Habari Duh!
kwa wale woote wanaotumia Decoder za startimes kwenye Remote yako Angalia neno TRACK uki> utaona Stereo, Left na Right
basi jaribu kuchange hapo utapata sauti japo si nzuri sana
sjui kwa decoder zingine mtajiongeza !!!
!
Likiwa limebaki saa moja watanzania washuudie jambo la kihistori live kupitia ITV sio jambo jingine ila ni harambee ya CHADEMA itakayofanyika leo tarehe 31/10/2014 katika ukumbi wa Serena Hotel na kurushwa live kwa saa 2
Kuna aina flani ya kihujuma kimepangwa na Tanesco chini ya usimamizi wa ccm kuhakikisha watanzania hawashuudie jambo hili kwa wingi!
Mimi binafsi nipo maeneo ya mwenge lakini umeme umekatwa turipoti hapa kwa pamoja tuweze kujuwa kama hujuma hii imefanikiwa au la chakufanya wewe weka ushauri wako hapa kwa tanesco na serekali yao ya ccm then tujuze kuhusu huko ulipo kama wamehujumu kwa kukata umeme au unashuudia jambo hili jema kwa taifa letu!.
Nasary anachat na SIMU wakati sala inaendelea, chama kina wahuni hiki!