Ngoja ukaguliwe wewe ndio utaacha kuherehere!
Unataka kukagua Paka? Lol kweni dunia imekwisha yan naanza kuyaona Chit Chat yale niliyoyaona Club
Nasubiri umkague kwanza siwezi kukiuka taratibu..
Hahahahaaaaa Nicas Mtei hao jamaa lazma wakitoka hapo wakapate walau kamoja maana watakuwa wameshazisogeza karibu bado kuzitoa tu lol
Ngoja ukaguliwe wewe ndio utaacha kuherehere!
Unataka kukagua Paka? Lol kweni dunia imekwisha yan naanza kuyaona Chit Chat yale niliyoyaona Club
Mi sikaguagi manyau asee. Kama vipi kuna lile linyau lenzio PakaJimmy lipe hiyo kazi uone St. Paka Mweusi atakavyorudi na mimba ya mapacha.

We nenda tu si hatujazoea mapaka ya kike kwanza machafu....Tunabaki na Lipaka letu la kiume Li St. Paka MweusiJamani kwaherini.
Naenda jukwaa la kwa Dr Riwa na Dr MziziMkavu.
Afu nielekee kwa Kimbweka na funzadume.
Jamani kwaherini.