Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

MKUYA: Mafanikio ya MKUKUTA II ni pamoja na kukua kwa uchumi na wastani wa pato la mwananchi kwa asilimia 7 na 8.9 kwa mwaka 2014.
 
viongozi wasitumie madaraka walio nayo kusaidia ukwepaji kulipa kodi. Waziri amesisitiza sana hilo.
 
Yale yale, kwa hiyo hajui kuwa mafuta yakipanda ndo kila kitu kimepanda!
Ndo shida ya mawaziri wetu wa fedha ,wao wanajuaga kuongeza kodi ya mafuta, magari na vinywaji

Hapo tu umeme utapanda, japo nasikia tetesi Units zimeshaanza kupunguzwa.
Sasa sijui zitafika ngapi!
 
Sikulisikia vizuri la uwekezaji..? Misamaha ya TIC imefutwa? Na inabaki kwa wawekezaji wenye mtaji wa zaidi ya $3 million? Aliye sikiliza vizuri hii part naomba
 
kuanzia mwaka ujao wa fedha serikali italipa ankra za maji na umeme kwa pamoja pasipo na malimbikizo
 
Mi sikujua kama wangeiweka kama source ya kupata hela. Ila sababu wameibariki wacha sisi tuendelee kuzichanga tu. Kule kwenye jukwaa letu tujitajidi tumchape hata 100,000,000 kwa mwaka

Tukikaa vizuri hata 200M kwa mwaka tunachukua aisee.. Ninaanza na mkakati mpya na muhindi kama vile wewe ulivyomfanya juzi.. Kila siku nitajilipua kwa 500k timu moja tu ya uhakika kwa odds kati ya 1.4-1.8

CC: Raimundo
 
Last edited by a moderator:
kima cha chini cha pension ni tsh85,000 badala ya 50, 000. Aidha serikali italipa mafao kwa wazee nchini.
 
MKUYA: Serikali imefanikiwa kuongeza mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kufikia 1.49 trilioni na kunufaisha wanafunzi 211,180
 
Tukikaa vizuri hata 200M kwa mwaka tunachukua aisee.. Ninaanza na mkakati mpya na muhindi kama vile wewe ulivyomfanya juzi.. Kila siku nitajilipua kwa 500k timu moja tu ya uhakika kwa odds kati ya 1.4-1.8

CC: Raimundo

Ha ha ha! Wazee wa mikeka, nina wasi wasi jamaa atashusha odds.
 
Waziri anamalizia kwa kusisitiza kuwa bajeti ya serikali itatekelezwa endapo tu kutakuwepo na amani na utulivu nchini ikiwa ni pamoja na kufanya uchaguzi mkuu hapo oktoba kwa amani na utulivu.
 
Back
Top Bottom