Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Ripoti ya PAC imejaa jazba, uongo, visasi na husda. Lazima ikataliwe
Sure mkuu ile kabadi imejaa ushabiki na upuuzi nadani yake watu waliojaa visingizio kwa wenzao nadhani pesa aliyopewa zitto na waingeleza atairudisha mapema sana misheni yake imekwama.
 
Sure mkuu ile kabadi imejaa ushabiki na upuuzi nadani yake watu waliojaa visingizio kwa wenzao nadhani pesa aliyopewa zitto na waingeleza atairudisha mapema sana misheni yake imekwama.
njaaa mbaya sana...
 
ripoti ya bunge kupitia kamati ya pac sasa inakataliwa kutokana na maslahi ya chama, chama kimekuwa pango kuu la wezi na hivyo kwa maneno ya warioba ccm maslahi. Ccm imani imebaki kwa butiku na wenzake pekee.

Kitendo cha nagu kusema kuita watu wezi sio vizuri bila kusema kama kuiba ni vizuri ni dhahiri kuwa ccm haina kinyaa tena na wezi, mafisadi wala watu wenye tabia za kutowajibika ktk kazi kama pinda.

Ccm imeshindwa kutetea umma na hivyo kutetea maslahi yake na wanachama wake viongozi pekee huku wanachama wadogo wakiachwa kuishi kwa bahatisha za maisha.

Maneno ya kibajaji kuwa kumpatia mtu hela haliwezi kuwa kosa, ni kuthibitisha kukosa kwa maadili ndani ya chama mchana kweupe, mtumishi wa umma anapatiwa fedha na mtoa huduma za jamii kwa mikataba ambayo kila siku inabishaniwa kuwa ni ya wiz wizi. Haingii akili mwa mtanzania isipokuwa mwanaccm tu kuwa waziri wa nishati wastaafu na aliopo wapate chochote, ag mstaafu na aliyepo atape chochote, mawaziri kama tibaijuka apate chochote, watumishi wa umma na wengine wa tra wapate chochote kutoka kwa mtu mmoja bila kujua hela hiyo ni hongo kwa namna fulani. Mbona hajagawia watu tu mitaaani? Ni wazi wamepewa hela kwa nyazifa zao. Na ni rushwa.

Rais yuko kimya, na uozo huu. Serrikali inadai hela ni za mtu binafsi, je iweje ag na cag watoe maelekezo ya kutoa na kukagua fedha za mtu binafsi??? Jk tujibu hilo.

Tukishindwa kwa hili basi jamii ya tanzania bila kujali hasara na mwelekeo wa mbele, inapaswa tukatae kwa nguvu zote watu wa namna hii wizi wa namna hii, na matumizi mabaya ya ofisi.

Nawasilisha

zitto kabwe, lugoa mpina, deo filikunjombe ,kigwangala ni ukawa?
 
watanzania wenye akili ukweli tumeshaujua,mwizi na tumbili wamejulikana!!! nasikitika sana kwa wabunge kugawanyika na kuwatetea wezi.2015 sio mbali:teeth:
 
:teeth:

  • :teeth:

    :teeth::teeth: NACHEKA KWASABABU NAHISI MWANDISHI UMETUMIA JAZBA KTK KUTUANDIKIA TAARIFA YAKO,HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS,SIJUI KM UMETHINK KWANZA NDIPO UKATUANDIKIA?.NIVEMA UNGETUAMBIA UKWELI WASAKATA ZIMA NA MTAZAMO WAKO BAdala ya kuingiza uccm na uukawa kwenye jambo zito km hili,km ulisikiliza hoja za pande zote usingetumia kauli kali namna hiyo.zitto alisema maelezo ya waliohojiwa inaonesha kunafedha za serikari,fedha za tanesko na fedha za IPTL,tatizo linalowakabili watuwengi ni ushabiki wa kivyama,akiongea mtu wa chama chako hata km ni uongo kwako ni sahihi.km kweli ni magreat thinker basi tufuatilie bunge leo mpaka mjadala unapofungwa kisha tuchambue taarifa kutoka pande zote tutapata ukweli kamili.tukisema ukawa ni tegemeo na ccm ni wezi huko ni kushindw kufikiri na kuishiwa hoja.:teeth::teeth::teeth:
 
zitto kabwe, lugoa mpina, deo filikunjombe ,kigwangala ni ukawa?

Uwe unadigest kidogo ukiona kitu, hao 19 wa CCM ambao wamesalitiwa na wenzao ni wazi WAUNGANE NA UKAWA ambao ni zaidi ya 70 na ambao hawajawasaliti kamati ya bunge ya PAC, kusaidia wananchi. Ni wazi 19 wa CCM, 1(ZZK jinsialess) na 4 UKAWA katika kamati hiyo ya PAC hawawezi kuwaongoza zaidi ya 70 wa UKAWA. Hivyo ukawa uchukue hoja na kuwaongoza wananchi kupinga wizi wa CCM.
 
BUNGE linapokataa ripoti ya kamati ya bunge, KAMATI Ijihudhuru au? Mwili unapokataa kile jicho linasema limeona, je maisha ya mwili ule na jicho lile yataendeleaje???
 
CCM ipewe anguko kuu, NI WAZI NI CHAMA CHA WEZI NA MAFISADI, PINDA HANA HATI MILIKI YA uPM, aende na mawaziri wake
 
Kama ccm watasema pesa siyo za umma basi mkaguzi wa hesabu za serikali ajiuzuru kwa kusema uongo na pia mkurugenzi wa kitengo cha rushwa nchini ajiuzuru
 
Ripoti ya BUNGE kupitia Kamati ya PAC sasa inakataliwa kutokana na maslahi ya CHAMA, Chama kimekuwa pango kuu la wezi na hivyo kwa maneno ya Warioba CCM Maslahi. CCM imani imebaki kwa Butiku na wenzake pekee.

Kitendo cha Nagu kusema kuita watu wezi sio vizuri bila kusema kama kuiba ni vizuri ni dhahiri kuwa CCM haina kinyaa tena na wezi, mafisadi wala watu wenye tabia za kutowajibika ktk kazi kama Pinda.

CCM imeshindwa kutetea umma na hivyo kutetea maslahi yake na wanachama wake viongozi pekee huku wanachama wadogo wakiachwa kuishi kwa bahatisha za maisha.

Maneno ya Kibajaji kuwa kumpatia mtu hela haliwezi kuwa kosa, ni kuthibitisha kukosa kwa maadili ndani ya chama mchana kweupe, mtumishi wa umma anapatiwa fedha na mtoa huduma za jamii kwa mikataba ambayo kila siku inabishaniwa kuwa ni ya wiz wizi. Haingii akili mwa mtanzania isipokuwa mwanaccm tu kuwa waziri wa nishati wastaafu na aliopo wapate chochote, ag mstaafu na aliyepo atape chochote, mawaziri kama tibaijuka apate chochote, watumishi wa umma na wengine wa TRA wapate chochote kutoka kwa mtu mmoja bila kujua hela hiyo ni hongo kwa namna fulani. mbona hajagawia watu tu mitaaani? ni wazi wamepewa hela kwa nyazifa zao. na ni rushwa.

Rais yuko kimya, na uozo huu. Serrikali inadai hela ni za mtu binafsi, je iweje ag na cag watoe maelekezo ya kutoa na kukagua fedha za mtu binafsi??? JK tujibu hilo.

Tukishindwa kwa hili basi jamii ya tanzania bila kujali hasara na mwelekeo wa mbele, inapaswa tukatae kwa nguvu zote watu wa namna hii wizi wa namna hii, na matumizi mabaya ya ofisi.

Nawasilisha

Huu ni uchochezi kama ulivyo uchochezi mwingine.
 
Huu ni uchochezi kama ulivyo uchochezi mwingine.

Wezi lazima waite huu ni uchochezi, rushwa na wizi vyenyewe sio zaidi ya uchochezi??? mlitaka muibe hela ya umma tukae kimya??? mwambie aliyekusomesha akulipie tena ada ukamalizie kozi zako, maana uko hopeless kama ganda la muwa la jana
 
Back
Top Bottom