Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

TANZANIA TANZANIA NCHI YANGU...!!
Kama kweli watu walioaminiwa na wananchi wanaanza kuwaibia wananchi! where are we heading!?, katika swala la msingi na la maana kama hili,tukiweka uanachama mbele tunapotea!, kama mwiz amekamatwa na amethibitika,kulikon kuanza kujadiriana huyu mwizi badala ya sheria kuchukua mkondo wake! lakn kibaya zaid ni waz hawa watu wanajua hawawez kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa serikali yote imepata mgao!, mwiz wa kuku akikamatwa hamaliz hata masaa kadhaa wananchi wanamalzana naye! iweje hawa wez wa mabilion ya wananchi tunajadiriana nao!, sasa napata picha sababu ya kipengere cha mamlaka ya wananchi kumwajibisha kiongoz wao kuondolewa!, ipo minong'ono watu wakisema eti imeondolewa kwakuwa wataiweka kwenye sheria ndogondogo! watanzania wenzangu bila kujali itikad zetu,chondechonde maandamano yanahtajika ili kurudisha pesa yetu! cjasikia wakisema mkuu wa jeshi la polis kupata mgao huo hivyo naimani hata yeye anaumia sana kwa wajanja hawa kupakua pesa ya umma!polis waache mabom
 
Ripoti ya PAC imejaa jazba, uongo, visasi na husda. Lazima ikataliwe
kaka hospitali hakuna dawa

kaka shule hazina maabara

Duane Stephenson - Heaven Will Rise Up Lyrics

You judge a man, by the length of his hair
You think we are foolish but we aren't
You took our hopes, and replace them with faith yeah
With empty promises that makes you care

For the heavens will rise up against you (it will rise up)
My father's hand will hear your name
Hell on earth will be your play ground,
But a higher calling will bear my name (calling calling)
Higher calling bear my name
 
Sure mkuu ile kabadi imejaa ushabiki na upuuzi nadani yake watu waliojaa visingizio kwa wenzao nadhani pesa aliyopewa zitto na waingeleza atairudisha mapema sana misheni yake imekwama.

Kauli mbiu mwaka huu ccm chama cha mafisadi .
 
Kule pesa ilibebwa kwenye magunia ya Rumbesa. Huwezi kujua ni nani alipewa, wazoefu wa kuiba wasingekubali ipitishiwe bank iache kumbukumbu. Yawezekana huko ndiko mgao wa Werema ulikopitia.

Kwanini hao viongozi waliotuhumiwa wasijiuzulu?? Inafahamika wazi kuwa wamekwapua fedha za umma (TAKUKURU na CAG wamethibitisha hilo) na still hawataki kujiuzulu. Jana Muhongo alitaka kutuaminisha kuwa Zitto na PAC walidanganya bunge na watanzania kwa ripoti mbovu aliyoiandaa kwa usiku mmoja. Aliongelea maswala ya kuokoa fedha za uwakili wakati bodi ya Tanesco imetakiwa kuwajibishwa kwa kuingia mikataba ya hovyo na iliyoigharimu taifa.

Na panga linatakiwa kupita kwa wizara ya fedha kwasababu fedha haziwezi kutoka bila mkono toka wizara ya fedha.
Na inaonekana hawa watuhumiwa wanataka kubaki madarakani kiubabe kitu ambacho sio sawa kufuatia demokrasia ya kinafiki wanayoihubiri. CCM acheni ubabe wa kitoto na wa wazi.

BTW: Tulioneshwa mgawanyo uliopitia Mkombozi Bank na wale wote waliopata. Mbona hatujaoneshwa mgawanyo kupitia hiyo akaunti ya Stanbic Bank???
 
Mjadala ukianza mtupe updates na sisi huku umeme haupo pamoja na maagizo mazuri ya muongo muhongo.
 
Napatwa na mashaka sana kuhusu kile kinachoendelea bungeni hvi sasa: hivi ni utamaduni wa bunge hili kuita watuhumiwa kuja kubeza ripoti za kamati za bunge? kulikuwa na umuhimu huo kweli wakati ripoti ya CAG pekee ingetosha kufunga watu na ripoti hizi zimekwisha kufunga wengi?CAG amesema waziwazi pesa za escrow ni mali ya Tanesco, zilitakiwa zote bil. 306 zirudi Tanesco na bado Tanesco iendelee kuidai IPTL bil.15. Ni nini hakieleweki hapa isipokuwa kwa wale waliopofushwa na rushwa? mtaikataa ripoti ya Mkaguzi wa hesabu za serikali na kuikubali badala yake ile ya mkaguzi wa miamba? watanzania nani kawaloga? hivi ni kweli bunge lote lile hakuna hata mmoja mwenye akili? ni wazi sisiem wamefungua mjadala uwe forum ya kuuhadaa umma na ulimwengu kwa manufaa ya kura na kuwasafisha watuhumiwa lakini kwa hili haitawabakisha salama; HEBU JAMANI TUCHANGIE HILI
 
Lizaboni akili zako na macho yako havina ushirikiano??? maana wizi unafanyika macho yanaona akili haifunguki ni nini??
 
Ripoti ya PAC imejaa jazba, uongo, visasi na husda. Lazima ikataliwe

Mkuu PAC Ina wajumbe 24

Kati ya hao ni 19 kutoka CCm
Na 5 tu kutoka vyama vya upinzani

Tuambie sasa je ni kweli?.?

Kama ni kweli ina maana mpaka wana ccm waliopo humo wanachuki binafsi
 
iphone5 (simu za mkononi 2 zimepotea ndani ya ukumbi wa bunge) kama kuna mtu anazo tunaomba azipeleke kwenye ofisi ya ulinzi ya bunge.
 
Napatwa na mashaka sana kuhusu kile kinachoendelea bungeni hvi sasa: hivi ni utamaduni wa bunge hili kuita watuhumiwa kuja kubeza ripoti za kamati za bunge? kulikuwa na umuhimu huo kweli wakati ripoti ya CAG pekee ingetosha kufunga watu na ripoti hizi zimekwisha kufunga wengi?CAG amesema waziwazi pesa za escrow ni mali ya Tanesco, zilitakiwa zote bil. 306 zirudi Tanesco na bado Tanesco iendelee kuidai IPTL bil.15. Ni nini hakieleweki hapa isipokuwa kwa wale waliopofushwa na rushwa? mtaikataa ripoti ya Mkaguzi wa hesabu za serikali na kuikubali badala yake ile ya mkaguzi wa miamba? watanzania nani kawaloga? hivi ni kweli bunge lote lile hakuna hata mmoja mwenye akili? ni wazi sisiem wamefungua mjadala uwe forum ya kuuhadaa umma na ulimwengu kwa manufaa ya kura na kuwasafisha watuhumiwa lakini kwa hili haitawabakisha salama; HEBU JAMANI TUCHANGIE HILI

Sijawahi ona jambazi sugu popote dunia kukiru kuiba mbele za watu labda kama anataka kumrudia Mungu
 
Mahakama Imzuia Fedha Hizo Za Malipo Ya Iptl Mpaka Mgogoro Kuhusu Capacity Charge Toka 2002 Upate Ufumbuzi,maana Ikibainika Iptl Wameibia Tanesco Hzo Fedha Overcharge Toka 2002 Zitakatwa Kutoka Escrow Account Kwa Hyo Anayedai Hamna Fedha Za Umma Hazipo Kwenye Account Ya Escrow Anapingana Na Kesi Iliyopo Mahakamani
 
:teeth:

  • :teeth:

    :teeth::teeth: NACHEKA KWASABABU NAHISI MWANDISHI UMETUMIA JAZBA KTK KUTUANDIKIA TAARIFA YAKO,HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS,SIJUI KM UMETHINK KWANZA NDIPO UKATUANDIKIA?.NIVEMA UNGETUAMBIA UKWELI WASAKATA ZIMA NA MTAZAMO WAKO BAdala ya kuingiza uccm na uukawa kwenye jambo zito km hili,km ulisikiliza hoja za pande zote usingetumia kauli kali namna hiyo.zitto alisema maelezo ya waliohojiwa inaonesha kunafedha za serikari,fedha za tanesko na fedha za IPTL,tatizo linalowakabili watuwengi ni ushabiki wa kivyama,akiongea mtu wa chama chako hata km ni uongo kwako ni sahihi.km kweli ni magreat thinker basi tufuatilie bunge leo mpaka mjadala unapofungwa kisha tuchambue taarifa kutoka pande zote tutapata ukweli kamili.tukisema ukawa ni tegemeo na ccm ni wezi huko ni kushindw kufikiri na kuishiwa hoja.:teeth::teeth::teeth:

Mkuu wewe shule ipo hongera
 
Nimrodi Mkono yupo bungeni lakini hajapangwa katika wazungumzaji wakati yeye katupiwa tuhuma nyingi sana jana.
 
Back
Top Bottom