Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Mleta mada itakuwa swa.umu imepanda kichwani siyo makosa yake
Naanza kufunga kesho, Mkuu pastor, na kuanzia kesho siangalii tena bunge mpaka umalizike mwezi mtukufu wa Ramadhani, nachelea kupoteza saumu yangu kwa kuangalia yalioharamishwa kuonwa
 
Hili bunge limekosa mvuto. Mkishakuwa ni wa upande mmoja mnabaki kusema ndiyooooooo.
yaan hawaelewag hata kinachoendelea wao husubiri mwsho wa taarifa waitikie ndioooo
 
Duh...Tumefikia huku.?
ndo hapo utambue kuwa mwenyekiti wako alifanya maamuzi ya kukurupuka,na ccm nao wanafanya kusudi kumuweka kila siku NS.................tusubiri movie iendelee na mkae mjue ccm hawashindwi kuiacha hii movie iendelee hivihivi kama ilivyo,mpaka ukawa mrudi nyuma...............hakuna namna mbinu mbadala ukawa inabidi mtafute
 
Sijui yule mbunge wetu atawakilishaje zile kero zetu....au ndio bado maslahi ya chama mbele" maana sijamuona pale mjengoni.
 
Huo ujinga unaoendelea bingeni siangalii kwani hakuna kitu wao watapanga lakini serikali ndio wenye pesa wanafanya yao tofauti na mipango ya bunge
 
Back
Top Bottom