Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Hata mimi nimeona. Kwa kweli ni fedheha sana kitendo walichokifanya. Inaweza ikaleta picha mbaya sana kwa jamii
 
Hata mimi nimeona. Kwa kweli ni fedheha sana kitendo walichokifanya. Inaweza ikaleta picha mbaya sana kwa jamii

Elezea vizuri basi mdada, kama aliacha nanihii nje au walibadilishana ndimi!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
"nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao" nimetoa wakati lilipotokea, kama moderators wataona hilo halikalifu sheria, hapo ndipo hoja ya kusema hujaeleweka linasimama
Hata mimi nimejitahidi sana kutafakari kupitia serikali yangu ya ubongo lakini pia sijamuelewa kabisaaaa...
 
wangekuwa wa chama chako ungekuja na umbea huu??
Kwa vile sio wa Chama chake ni sahihi? Saa ingine mnatafutie wenzenu Ban za bure!.......@%£#*&%&&**Ch#@*****&&&upi........@%%££#
 
Mleta uzi mbona hueleweki kitu gan wamefanya sasa
 
Leo asubuhi kipindi cha maswali " live" kiliisha saa nne na dakika thelathini na sita.Na nimeangalia kupitia Azama TV (TWO)
Wewe sasa unavyoendelea kucomment ujue unabore,
bila kutaja majina na nni wamefamya huu ni umbea na unafiki,

Mod futeni huu uzi please
 
"hovyohovyo" wakati Lewinsky na Clinton walipo umbuliwa kule USA, "wazungu wafanya utafiti na ubunifu mbali mbali" walikwenda likizo? au walioyazua hayo walikuwa waswahili?Think positive!

Nchi ya akina Lewinsky na Clinton na hii yetu zinafanana? Umeniambia kuwa ni think positive ila na Mimi sasa nakuomba jaribu ku think big na jifunze kujenga HOJA.
 
Naona JF haijakusaidia.
Unawezaje kufanya utafiti wakati wanaokupangia sera, pesa na namna ya kufanya utafiti wanafanya hayo unayoyaita ya hovyo hovyo?

Kheri yako ambaye JF imekusaidia kutetea mambo ya " hovyo hovyo " wakati wenzako tuliopo humu tunayachukua tu mazuri na yale " makapi " tunawaachieni nyie mhangaike nayo.
 
Mleta mada itakuwa swa.umu imepanda kichwani siyo makosa yake
 
Back
Top Bottom