Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Kwahiyo wapinzani wanaona wakisusa watafanikisha mpango wao au itafika muda watarudi tu?.............haya nayo kama maigizo tu
 
Kuna jamaa yangu nilimwuliza,NS,Dr Tulia anawakilisha jimbo gani,nikajibiwa kuwa Ikulu. Hivi ikulu ya Magogoni ni jimbo la uchaguzi? Wakazi wake ni wangapi?
Duuuh hiyo balaaa.....
 
Kuna jamaa yangu nilimwuliza,NS,Dr Tulia anawakilisha jimbo gani,nikajibiwa kuwa Ikulu. Hivi ikulu ya Magogoni ni jimbo la uchaguzi? Wakazi wake ni wangapi?
Rais ana mamlaka ya kuteua wabunge kumi
 
Katika kikao cha leo asubuhi bungeni, katika kipindi kiliobakia kurushwa " live" nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao, naomba wana bodi, moderators wanisaidie.

Katika majira kati ya saa nne na dakika thelathini mpaka na dakika thelathini na sita ( 10:30-10:36) Wabunge wawili wa chama tawala wa jinsia tofauti walipojitanua. Sasa sijui niliangalia kwa makengeza au sawa, naomba nisaidieni.

Ikiwa nilichokiona ni sahihi, basi kitendawili cha siri ya bunge kukataa kuoneshwa " live" kimeteguliwa
 
Sema nni kimetokea,
Bila kueleza kwa kina na kuwataja majina basi ni uongo

Mana hata mmi ningeweza kuanzisha thread kama hii yako
 
Back
Top Bottom