Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

wabunge wa ccm wanalalamikia serikali alafu mwisho wanaunga mkono asilimia mia moja ila kuna mbunge fulani wa ccm yeye alinimaliza pamoja na malalamiko mengi kwa serikali aliunga mkono asilimia mia na hamsini, maaajabu kabisa
 
Back
Top Bottom