ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.
Kwa waelewa tunajua ni kiasi gani ulivyo mjinga na mbumbu wa kujua ni namna gani siasa zinaweza kuathiri mambo makubwa yenye maslahi kwa wananchi. Unaleta siasa za mazingaombwe mlizozizoea kuwadanganya wapiga kura kwa miaka 50.