Linapofikia suala la ubunge wa vunjo mh anakua mbogo kweli kweli
Serikali inakusanya bilioni 800 kwa mwenzi mnashindwa kuwalipa wakulima bilioni 26 ni aibu
ujinga mtupu katika riwaya hii. ccm haina uwezo wa kuzuia gari lolote linaloagizwa na mtu yeyote toka nje ya nchi. labda liwe la wizi au la utapeli...ccm inahamasisha maendelo na wadau wa kuchangia maendeleo haiwezi kukwamisha maendeleo.