Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

wabunge wa upinzani wanabwabwaja eti ukawa inaenda kuchukua nchi badala ya kuchangia bajeti iliyopo mezani...kwamba serikali ya ccm imechoka na wao ukawa wanaenda kuchukua nchi tarehe 25n mwezi wa 10 2015...je hili ni bunge la bajeti au bunge la kampeni???
 
Tunaposema serikali ya ccm imechoka kwenye ukweli tutawaambia ukweli .Nassari

Mbona anapingana na mwenyekiti wake? ??? Mb.owe juzi ameisifia ccm na serikali yake kwa kuiita serikali makini sijui huyu kala maharage ya wapi
 
Ukawa tunachukua nchi tunaomba wananchi wajitokeze kwenye kujiandikisha na kuipiga kura Ukawa ccm mmeshashindwa.susan
 
Mbunge wa ccm anasema serikali ya ccm imefanya mengi kuokoa maisha wajawazito
 
Serikali ya ccm imefanya mengi sana watu wengi wanaenda kutibiwa nje kwa pesa ya setikali ya ccm
 
Kama ukawa hawachangii maccm na tlp si wachangie na kuweka mambo sawa? Au mnadhihirisha usemi wa Tundu Lissu kuwa maccm hata ukiyaachia peke yao hayawezi.

Na kama mchango wa ukawa ni dhahabu basi waliposusia bunge la katiba mngeahirisha bunge hilo maana maccm hamna hoja mujarabu.
 
Wewe ni km toilet paper tu wote wamechangia bajeti toa mfano ambae hajachangia maana muda huu ni zamu ya huyu mama aliyevaa lemba la njano.
 
Tunataka serikali yetu ijenge viwanja vya michezo na kuondoa ushuru kwenye vifaa vya michezo
 
Back
Top Bottom