Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Hongera kwa kuwa na bastora;
Hongera kwa kuwa wa kwanzaNakuwa wa kwanza ku comment. Heri yako uliye na paja la kuku na siye ambao hatutembei hata na mawe tungefanyaje? Watu waelewe kuwa nchi haina dini!!! Dini ni wewe na Mungu wako. Wengine hatujui hata makanisa na misikiti. Kuna Miti mikubwa tunaenda abudu inaitwa Ebigabilo hapo ndo yupo tunayemwomba.
Kamtetee kwanza Nabii Tito maana kakamatwa wakati anahubiri kupitia Dini yake naye ni
Mchungaji kwenye kanisa lake.
E bwana ee hiv imekaaje hii ya kula tango halaf ukalamba sukari.logic yake ikoje na hiw is explained?huwezi kula supu (ya nyama) na maziwa fresh usiharishe. Huwa haishauriwi.
ni kama kulamba asali na muda huohuo utafune tango, lazima uage dunia.
Wajinga Sana Majamaa..
Mmoja alinikuta nimebeba likitabu la la kijani kijani na maurembo eanaoiita Korani/Kuruani eti vile anajua Mimi Ni Mfuasi Wa Yesu aliyehai akaanza Kuhamaki na kuninyang'anya.
Nikamuambia kitabu Ni change nimenunua kwa hela yangu wakajikusanya pale mwanangu. Nikawauliza Uislamu Ni Fini Ya Watu Wote? Wakajibu ndiyo.. nikawaambia basi Korani Pia ya Watu Wote!
Polisi walitokea pale ikabidi kila mmoja apite hivi kimya kimya.