hii ni poverty africa mtu akisoma anatafuta heshima kwani hizo kazi hazina kitu. Lakini pia wenye mawazo ya ukombozi wanafanyiwa kitu mbaya mfano dr. Masao aliyefanyiwa ndo maana watu wanataka madaraka ili wawe na control na scarce resource. Ingawa this is the most inefficient method ya kutumia hii scarce human resource. Lakini vilevile nina mashaka na ma-dr toka africa kama dr. J.kikwete -credibility ya doctorate yake is still questionable katika academic worldlist yote hiyo nimeona ma-dr wapo 3 na prof 1 wote kutoka africa.
Rais wa palestine ndani ya stadium.
Nasikia netanyau kasema haji hana hela usafiri.
Sijui Obama atatinga na beast lake....maana Wamarekani hawamwamini mtu ikija kwenye usalama wa rais wao.
Halafu hiyo mvua inaweza ikasababisha uwanja usijae.
Beast One si ni lile basi kaka?
Limo one.
Sidhani kama ni kweli maana kulikua na taarifa kwamba Uhuru hatahudhudhuria but Uhuru kafika tena na kiburudisho chake
Lile Jukuu korofi liko hewani