Ukweli1
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 550
- 333
Baadhi ya Maraisi wakingia South Afrika hapo jana jumatatu:-
View attachment 125809Robert Mugabe na mkewe View attachment 125810Uhuru Kenyatta na mkewe
View attachment 125812Yoweri Museveni View attachment 125811Joyce Banda
View attachment 125813 Teodoro Obiang Nguema Mbasogo View attachment 125814Barack Obama na mkewe wakiondoka US jana
View attachment 125815uwanja utakaoutumika unawezo wa kuweka watu karibia 95,000, mpaka sasa 91 heads of state and 10 former heads of state wameconfirm kuhudhuria. Ulinzi umeimarishwa jukwaa limezungushwa na kioo kinachozuia risasi. Mpaka jana asubuhi wana habari 1500 walipatiwa vibali jana kufanya kazi, wananchi wanaruhisiwa kuingia ila namba ikitimia ni mwisho, watu wamepiga kambi ya kulalal nje kuwahi foleni ya kuingia kesho.
View attachment 125816Kijijini Qunu Tata Madiba atazikwa hapo, nyumba yake inaonekana kwa pembeni yenye vigae eneo liloandaliwa kwa mazishi lina uwezo wa kubeba watu 5000, ofisi ya Raisi imeshauri viongozi na wageni wakimataifa wasiende kutokana na ufinyu wa eneo ila wamesema hawatamzuia atakayetaka kwenda.
Ratiba ni kama ifuatavyo
Vote of Thanks: Premier of Gauteng, Nomvula Mokonyane
NB: Hii list ya Marais watakaongea mbona kama Afrika haipo only Namibia? Je huu uchaguzi Maraisi watoa hotuba umeuonaje, nini unazani imepelekea waliochaguliwa kuchaguliwa?
Ab-Titchaz, Cookie, Shadow, Money Stunna, MziziMkavu, Mr Rocky, Bujibuji, FaizaFoxy, kabanga, Heaven on Earth, Rutashubanyuma, Smile, Mamndenyi, Mtazamaji, Hero, Mauza uza, Endaku's, nngu007, Dark City, The Boss, Mchambuzi na wengineo tulijadili hili tunapomuenzi Tata Madiba "The Hero"
Ni mimi mdau nawakilisha, samahani naanza na kuwatag kabla ya salamu:A S tongue:
"I dream of an Africa which is in peace with itself. I dream of the realization of unity of Africa whereby its leaders, some of whom are highly competent and experienced, can unite in their efforts to improve and to solve the problems of Africa." Nelson Mandela
View attachment 125809Robert Mugabe na mkewe View attachment 125810Uhuru Kenyatta na mkewe
View attachment 125812Yoweri Museveni View attachment 125811Joyce Banda
View attachment 125813 Teodoro Obiang Nguema Mbasogo View attachment 125814Barack Obama na mkewe wakiondoka US jana
View attachment 125815uwanja utakaoutumika unawezo wa kuweka watu karibia 95,000, mpaka sasa 91 heads of state and 10 former heads of state wameconfirm kuhudhuria. Ulinzi umeimarishwa jukwaa limezungushwa na kioo kinachozuia risasi. Mpaka jana asubuhi wana habari 1500 walipatiwa vibali jana kufanya kazi, wananchi wanaruhisiwa kuingia ila namba ikitimia ni mwisho, watu wamepiga kambi ya kulalal nje kuwahi foleni ya kuingia kesho.
View attachment 125816Kijijini Qunu Tata Madiba atazikwa hapo, nyumba yake inaonekana kwa pembeni yenye vigae eneo liloandaliwa kwa mazishi lina uwezo wa kubeba watu 5000, ofisi ya Raisi imeshauri viongozi na wageni wakimataifa wasiende kutokana na ufinyu wa eneo ila wamesema hawatamzuia atakayetaka kwenda.
Ratiba ni kama ifuatavyo
STATE MEMORIAL SERVICE FOR THE LATE FORMER PRESIDENT
Nelson Rolihlahla Mandela: 10 December 2013, 11:00 15:00
(kumbuka sisi tutaangalia kuanzia saa sita mchana)
Mr Cyril Ramaphosa and Ms Baleka Mbete
National Anthem: Mass Choir
Welcome and Opening Remarks: Programme Directors
Interfaith Prayers
Tribute by Family Friend: Andrew Mlangeni
Tribute by Family: General Thanduxolo Mandela
Tribute by the Grandchildren: Mbuso Mandela, Andile Mandela, Zozuko Dlamini, Phumla Mandela
Tribute by UN Representative: Secretary-General Ban Ki-Moon
Tribute by AU Commission Chair: Dr Nkosazana Dlamini Zuma
Tribute by Foreign Dignitaries: President Barack Obama (USA), President Dilma Rousseff (Brazil), Vice-President Li Yuanchao (China), President Hifikepunye Pohamba (Namibia), President Pranab Mukherjee (India), President Raúl Castro Ruz (Cuba)Nelson Rolihlahla Mandela: 10 December 2013, 11:00 15:00
(kumbuka sisi tutaangalia kuanzia saa sita mchana)
Mr Cyril Ramaphosa and Ms Baleka Mbete
National Anthem: Mass Choir
Welcome and Opening Remarks: Programme Directors
Interfaith Prayers
Tribute by Family Friend: Andrew Mlangeni
Tribute by Family: General Thanduxolo Mandela
Tribute by the Grandchildren: Mbuso Mandela, Andile Mandela, Zozuko Dlamini, Phumla Mandela
Tribute by UN Representative: Secretary-General Ban Ki-Moon
Tribute by AU Commission Chair: Dr Nkosazana Dlamini Zuma
Keynote Address by the President of the Republic of South Africa:
His Excellency Jacob Zuma
Sermon: Bishop Ivan AbrahamsHis Excellency Jacob Zuma
Vote of Thanks: Premier of Gauteng, Nomvula Mokonyane
Ab-Titchaz, Cookie, Shadow, Money Stunna, MziziMkavu, Mr Rocky, Bujibuji, FaizaFoxy, kabanga, Heaven on Earth, Rutashubanyuma, Smile, Mamndenyi, Mtazamaji, Hero, Mauza uza, Endaku's, nngu007, Dark City, The Boss, Mchambuzi na wengineo tulijadili hili tunapomuenzi Tata Madiba "The Hero"
Ni mimi mdau nawakilisha, samahani naanza na kuwatag kabla ya salamu:A S tongue:
"I dream of an Africa which is in peace with itself. I dream of the realization of unity of Africa whereby its leaders, some of whom are highly competent and experienced, can unite in their efforts to improve and to solve the problems of Africa." Nelson Mandela
Last edited by a moderator: