Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,206
- 33,223
Jaman Kikwete hajaongea??
hakuwa kwenye ratiba ya kuongea
Jaman Kikwete hajaongea??
amebahatika kuolewa na wanaume wawili wote maraisi wa nchi tofauti, who is the next?.
Uwanja uko emptyyyyy!BBC News - LIVE: Nelson Mandela memorial service
kwa anayetaka kufuatilia live
how about Mugabe?
heros are made ndivo wazungu wanavomtangaza zaidi kuliko sisi waafrika wenyewe
Kinachomfanya awe hero ni nini? kuwasamehe wazungu kwa kumfunga na kumtesa?
au kupinga ubaguzi dhana ambayo ilianzishwa na chama chake?
his release was because watu walipigana sana atoke ndani na nchi haikuwa na amani vurugu kila kona...Tafuta video ya jinsi mandela alivotumika kwa maslahi ya wazungu.....
to me Mugabe is a true African Hero and not Mandela
inashangaza kusikia wazungu wanatuambia hakuna kiongozi kama mandela why?
Thats not true at all.
Ni onyo gani mandela ameshawapa wazungu> ni wapi umemsikia akiwakemea kwa nguvu makaburu zaidi ya kutaka ubaguzi uishe?? hayo ni maoni yangu ...Tusikaririshwe Mandela is a herio,tuhoji zaidi ya hapo
Mwambie aende Mbeya kama unabishaHumpendi peke yako, jisemee mwenyewe
We mla vumbi utakuwa umeathirika na vumbi wewe.
Waziri Mkuu wa Islael mbona hayupo? au anogopa alshabab
bahati mbaya sijaona hiyo sehemu,,,
obama kamshika mkono kama alivoshika viongozi wengine?
nazani ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye Tundu la sindano kuliko kwa kiongozi yeyeto wa nchi za magharibi kushikana mkono na Mgabe
Alazwe anapostahiki.
Faiza, mbona husemi alazwe peponi? Peponi wanalazwa watu gani?
Ajuae ni Muumba.
Lile Jukuu korofi liko hewani
hahahahahah jukuu korofi ndio lipi tena ndg yangu! nimecheka sana eti jukuu korofi...